Hakikisha kabla hujafikisha 40 unawala mademu wafuatao

Ujinga.. najutia kusoma huu uzi

Nilidhani utasema before 40 uwe na utajiri around 500Mil unanona some where
Sasa ml 500 zanini wakati utazikwa nazo hizi hizi ml 3,2 zinatosha kula raha
 
Umesahau mliyekutana kwenye daladala au bus la mkoani au hata train.
 
MWANAUME KAMILI NI YULE ANAEJITAMBUA NA IDADI KUBWA YA WANAWAKE HAIKUFANYI UONEKANE SHABABI
Well said ...ila namba 10 imenibamba. .namuunga mkono mtoa mada walau amenikosha
 
Yeah. .waweza kufa hata kwa ajali
vile vidonge vya kufubaza vinawapa watu kiburi. Alafu kufa ni kufa tu mbaya kutangulia unaweza kukwepa ukimwi ukafa na maralia so kwenye kifo lazima kuwe na sababu ya kukuondoa duniani
 
Daah hao wa kwenye namba 8..wanapata kana wapi. ?
 
Na we we gawa kuku wote kwenye orphanage zote ili watoto nao wafaidi nyama...trust me next week utaitwa interview Bot
Hahaha..I wish ningekuwa na hao kuku,hakika ningefuata ushauri wako
 
Shida demu ukimla ukikojoa tu akili inarudi ikifika kesho hata hukumbuki ilikuaje so sio ujanja kutia sana basi tu
Sure..ila hayo unakuja kujua baada ya kuruka sana, bora uoe au kuolewa na malaya mstaafu kidg atatulia ila sio ambao bado wageni na k..
 
Ukweliiiiii
 
Point kubwa sana hii japo changamoto ya mijini huku eti Wanasema Uzee mwisho wake chalinze! [emoji3] Sasa na wazee tunajikataa ili tuonekane bado watoto[emoji3][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…