Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
habari wadau.

Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.

wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
 
Rekebisha heading yako. Kuna watu wanalipwa mishahara ya kawaida ila side hustle ndio zinaingiza pesa nyingi zaidi. Ungeandika kipato badala ya mshahara

hii imeongelea wanaotegemea mishahara, na hata wenye vipato vya ziada sheria ya asili haibadiliki
yaani kama una side hustle pia hakikisha kipato cha hustle zako zote unachopata ndani ya mwezi mmoja kinatosha kulipa kodi ya nyumba unayoishi kwa miezi sita
 
Sasa kama unaweza lipa miezi 6 kwanini usijenge kwako!?
 
hii imeongelea wanaotegemea mishahara, na hata wenye vipato vya ziada sheria ya asili haibadiliki
yaani kama una side hustle pia hakikisha kipato cha hustle zako zote unachopata ndani ya mwezi mmoja kinatosha kulipa kodi ya nyumba unayoishi kwa miezi sita
Lakini pia hapo kwenye sheria za asili pia badilisha labda weka sheria za kiuchumi
 
habari wadau.

Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.

wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
Ni kweli kabisa nakuunga mkono..
 
habari wadau.

Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.

wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
Sio miezi sita tuu hata mwaka mzima
 
kwa annual income ya kiasi gani?
 
Waongeze juhudi kupambana tu kubana matumizi na huku hauna juhudi yoyote nikujidumaza tu.
 
Kuna wakati maisha hayahitaji kanuni nyingi, ishi tu mkuu.
 
Kuendelea kuisha Kwa wazazi wenu maana mkihama home Kwa tamaa na kuwa na uhuru matauponza
Kwahyo tuendelee kusubiri urithi?

Vipi wewe huko Mjini Kati Bro umesha Uponza.. wana wamesha kula kichuri?
 
Back
Top Bottom