Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

habari wadau.

Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.

wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje
 
Back
Top Bottom