Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 3,711 Reaction score 6,762 Feb 25, 2025 #21 MKATA KIU said: hapana, ila wakapange nyumba zinazoendana na kipato chao Click to expand... Nitafutie chumba Cha elfu kumi na tano mbagala saku
MKATA KIU said: hapana, ila wakapange nyumba zinazoendana na kipato chao Click to expand... Nitafutie chumba Cha elfu kumi na tano mbagala saku
U uswekweni Senior Member Joined Aug 21, 2024 Posts 141 Reaction score 195 Feb 25, 2025 #22 MKATA KIU said: habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana Click to expand... Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje
MKATA KIU said: habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana Click to expand... Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Feb 25, 2025 Thread starter #23 Monetary doctor said: Nitafutie chumba Cha elfu kumi na tano mbagala saku Click to expand... nenda kawape kazi madalali wa huko saku. watakutafutia
Monetary doctor said: Nitafutie chumba Cha elfu kumi na tano mbagala saku Click to expand... nenda kawape kazi madalali wa huko saku. watakutafutia
DR VRM JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 853 Reaction score 1,040 Feb 25, 2025 #24 uswekweni said: Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje Click to expand... ni njema, hata kwa 20,000/- inategemea malengo/goals yako
uswekweni said: Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje Click to expand... ni njema, hata kwa 20,000/- inategemea malengo/goals yako
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Feb 25, 2025 #25 uswekweni said: Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje Click to expand... Enjoy maisha...hatuishi mara mbili
uswekweni said: Me nalipwa 1M nakaa chumba cha 30000 hapa sheria ya asili inasemaje Click to expand... Enjoy maisha...hatuishi mara mbili