JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hawatofautiani sana. Wanacheza tu ligi moja.Panya rodi kabisa hao
Nje ya mada kido mkuu nina swali hv naweza kupata wapi pampu za kisasa za kujazia matairi
Dah sijajua mkuuNje ya mada kido mkuu nina swali hv naweza kupata wapi pampu za kisasa za kujazia matairi
Gari inatumika kila siku. Wala hata haipark.Gari ilipark kwa muda mrefu nini?
kweli hiyo changamoto kubwa sasa, mimi kwangu walitia kambi sisimizi nikajikuta natumia mbinu ya dawa ya kuspray japo nilikua nikibeza kwa rafiki yangu aliekua akitumia kama njia mmbadala ya wadudu hatarishi kujificha kwenye gari.Gari inatumika kila siku. Wala hata haipark.
Aiseeeee.... Lakini sijui ndani waliingiaje maana body la gari matundu yote huwa wanakuwa wameziba.Panya ni waharibifu...kwangu waliingia kwenye injin kwa kupitia chini ya uvungu wa gari, wakakatakata kile kitambaa fulani hivi kinawekwe kwenye bonnet kuzuia joto la injini.....sijui walipenya wapi hivyo vitambaa wakavipeleka ndani ya gari, wakavijaza ndani ya matundu ya AC na kwenye blower motor...
Nilikereka ila sikuwa na lakufanya zaidi ya kubomoa bomoa dashboard na swhemu zingine..nikaondoa hayo matakataka..[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Nilikuja kugundua sehemu aliyopita...Aiseeeee.... Lakini sijui ndani waliingiaje maana body la gari matundu yote huwa wanakuwa wameziba.