Tunawatakia mtihani mwema wadogo zetuMtihani wa kwanza umemalizika muda si mrefu.
😁😁😁😁😁Dahhh....
Nimekuja mbio nikajuwa ni mambo ya kunyanduana wallahi....the[emoji28]
Dahhh....
Nimekuja mbio nikajuwa ni mambo ya kunyanduana wallahi....the[emoji28]
[emoji2][emoji2]mambo ya mjulubengiDahhh....
Nimekuja mbio nikajuwa ni mambo ya kunyanduana wallahi....the[emoji28]
Kulikoni tena mkuu...??
Mkuu, naona sasa na wewe ndio umwongeza tafarani zaidi....Malizeni mtihani mje mtaani tukazane kutafuta maisha
Hivo vikolombwezo vinachafua mafuta. Samaki anatiwa ndimu au limao tuu. Mtie ndimu au limao hautajuta.
Mbwembwe nyingi unaharibu.