Hakikisha unamtia vizuri asikusahau. Nimekuwekea mbinu hizi hapa jionee

Hakikisha unamtia vizuri asikusahau. Nimekuwekea mbinu hizi hapa jionee

Kichenza

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
222
Reaction score
243
Chukua samaki wako mpasue, mtoe makolokolo yote ya ndani muoshe vizuri kwa maji safi na salama. Baada ya hapo sasa mtie ndimu ya kutosha, mtie tangawizi ya kutosha, mtie kitunguu swaumu cha kutosha pamoja na viungo vingine vingine then mdumbukize kwenye mafuta yako sasa. Mkaange vizuri aive na viungo vyake, hakikisha unapompelekea mgeni wako baada ya kula asikusahau kwa chakula kitamu ulichomuandalia.
 
Mtihani wa kwanza umemalizika muda si mrefu.
 
njia mzuri ya kumla inatakiwa mlaji awe nyuma
 
Mi nimekuwa attention nisome kilicho andikwa nikanywa na maji kumbe hakuna yaliyomo hayomo..
 
Back
Top Bottom