Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lahaulla....kuna jamaa waliimba
[emoji445] poleee samaki polee[emoji445]
Ndio maana hata mimi nikikuacha baada ya muda nakurudia. Ni kwa sababu unanipenda kweli.Ndio maana nakupenda mchumbaangu
Hivo vikolombwezo vinachafua mafuta. Samaki anatiwa ndimu au limao tuu. Mtie ndimu au limao hautajuta.
Mbwembwe nyingi unaharibu.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Hivo vikolombwezo vinachafua mafuta. Samaki anatiwa ndimu au limao tuu. Mtie ndimu au limao hautajuta.
Mbwembwe nyingi unaharibu.
Hahaaa mzee babaDahhh....
Nimekuja mbio nikajuwa ni mambo ya kunyanduana wallahi....the[emoji28]