Hakikisha unasoma ushauri huu kijana

Hakikisha unasoma ushauri huu kijana

Samtee

Member
Joined
May 2, 2018
Posts
89
Reaction score
118
Maisha yanakwenda kasi mno, speed ambayo hata wewe inafika mahala unakosa utambuzi. Maisha mazuri na bora ndio lengo la kila mmoja hapa kwanzia tukiwa wadogo ndio wiimbo tumesikia mpaka sasa tumeshakua tunapata na nguvu ya kujituma kuyatengeneza. Muhimu kama kijana;

1. Hakikisha umeweka pesa katika hifadhi (NSSF/PSSF) maisha hayana utabiri lakini hakika katika jambo fulani ni muhimu. Bei/michango ni nafuu kwa kila mmoja badae yako itakushukuru.

2. Hakikisha una bima ya afya valid, sisi ni wanadamu hatuna guarantee wala warrant. Lolote libaweza kutokea.

3. Wekeza sehemu ya pesa zako kwenye vitu vya muda saving accounts, UTT, stocks, crypto, vikoba, vibati na vingine. Vitakulinda ukiwa hata hutegemei, sehemu zitakazo kurudishia badae ufanye maajabu uwashtue haters.

Kujikomboa round hii ni sisi wenyewe kusoma tumesoma wote ata zile nafasi hazipo kama zamani, hustles tunapiga wote ila hatushindi wala kupoteza wote. Ushindi turudi nao nyumbani.
 
Kwa huu mpangilio wa maisha ndiyo unakuingiza shimoni pasipo kujijua unafeli big time, utastuka baadae sana umechelewa huna mbinu na haters watakucheka sana.
 
Kwa huu mpangilio wa maisha ndiyo unakuingiza shimoni pasipo kujijua unafeli big time, utastuka baadae sana umechelewa huna mbinu na haters watakucheka sana
Kila kitu ni mipango mzee "PLAN" ndo kila kitu hata kama hatufikii plan zetu ndio kitu tumejaliwa ukifeli kuplan jua umewekwa waaah. Ukiona hutaki mbichi hizo 1,2&3 tafuta mbivu zako zinazofaa masta.
 
Back
Top Bottom