Hakikisheni wanafunzi wanarudi nyumbani wanavaa nguo za kiraia halafu wanaenda uwanjani, muwape bendera na kofia

Hakikisheni wanafunzi wanarudi nyumbani wanavaa nguo za kiraia halafu wanaenda uwanjani, muwape bendera na kofia

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Hivi kama sio hivi, nadhani hata zambarau ina watu weng sana kuliko nzi wa kijani, hii nimeishuhudia baada ya hili tukio kufika wilayani kwangu nilijua labda watu wanazusha.

Hivi kumbe taasisi za serikali na za kielimu ilimradi ni za serikali zinaruhusiwa kumpigia kampen mgombea? Tena hata kwa watoto walio chini ya miaka 18, yani akipita sehemu shule hamna hiyo siku eti ili watoto wakajaze uwanja.

Mgombea ubunge ana vituko inatumika nguvu kubwa sana kumpitisha ngamia kwenye tundu la sindano.


Haya sasa nyie nzi wa kijani njooni mumtetee Mungu wenu.

 
Naskia machawa sasahiv wanamuabudu wanasema ndio Mungu wao, nimeona kwenye group la machawa
 
Naskia machawa sasahiv wanamuabudu wanasema ndio Mungu wao, nimeona kwenye group la machawa
 
Back
Top Bottom