Wanabodi,
Hili ni Hakikisho la Kiusalama, kesho hali ni shwari kabisa, usalama umeimarishwa!, Umetolewa Mwito, Wananchi tujitokeze kwa wingi, kwenye Maonesho ya Saba Saba!.
============
Mheshimiwa rais Dr Samia [amefanikiwa] kutuletea mashine za kisasa sana... Unaona kuanzia utambuzi ukienda kwenye desk la immigration... na hatua nyingine unaenda kwenye deski ambazo zinafuata."
Waziri Katambi: "Watanzania wajitokeze kwenda kujisajili ili wapate vitambulisho vyao. Jamii namba hii ni muhimu kuwa nayo... ni sehemu mojawapo ya kuwasaidia kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na serikali."
View: https://youtu.be/YE2mEC-pYnU
Mimi Mwenyewe Nitakuwepo.
Karibuni Sana,
Paskali.

Asubuhi angalia reaction. Kama njia zote zitajaa askari wenye mitutu za kuambiwa changanya na zako.
Wanabodi,
Hili ni Hakikisho la Kiusalama, kesho hali ni shwari kabisa, usalama umeimarishwa!, Umetolewa Mwito, Wananchi tujitokeze kwa wingi, kwenye Maonesho ya Saba Saba!.
============
Mheshimiwa rais Dr Samia [amefanikiwa] kutuletea mashine za kisasa sana... Unaona kuanzia utambuzi ukienda kwenye desk la immigration... na hatua nyingine unaenda kwenye deski ambazo zinafuata."
Waziri Katambi: "Watanzania wajitokeze kwenda kujisajili ili wapate vitambulisho vyao. Jamii namba hii ni muhimu kuwa nayo... ni sehemu mojawapo ya kuwasaidia kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na serikali."
View: https://youtu.be/YE2mEC-pYnU
Mimi Mwenyewe Nitakuwepo.
Karibuni Sana,
Paskali.
Rejea ni Oct 29 na 30.Kama ww sio mwalifu kwann uogope wingi wa Askari wakiwa kwenye majukumu ya kukuakikishia Usalama wako. ❗️❗️
Tatizo michadema mingi popote walipo nikama wananuka Bang!!❗️
Ndiomana wao na Polisi ni matatizo tu❗️
Wanabodi,
Hili ni Hakikisho la Kiusalama, kesho hali ni shwari kabisa, usalama umeimarishwa!, Umetolewa Mwito, Wananchi tujitokeze kwa wingi, kwenye Maonesho ya Saba Saba!.
============
Mheshimiwa rais Dr Samia [amefanikiwa] kutuletea mashine za kisasa sana... Unaona kuanzia utambuzi ukienda kwenye desk la immigration... na hatua nyingine unaenda kwenye deski ambazo zinafuata."
Waziri Katambi: "Watanzania wajitokeze kwenda kujisajili ili wapate vitambulisho vyao. Jamii namba hii ni muhimu kuwa nayo... ni sehemu mojawapo ya kuwasaidia kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na serikali."
View: https://youtu.be/YE2mEC-pYnU
Mimi Mwenyewe Nitakuwepo.
Karibuni Sana,
Paskali.
Ngoma inogile

Mkuu Kwema huko! Ngoja nimjibu paskali hapa Samahani mate.. Huyu chawa anakera sana like zake za kujifanyisha ampelekee kitambi sijui kanani….
Hivi Ile Kampuni yake imepata matangazo?Mkuu Kwema huko! Ngoja nimjibu paskali hapa Samahani mate.. Huyu chawa anakera sana like zake za kujifanyisha ampelekee kitambi sijui kanani….
Paskali punguza undumilakuwili
Chagua upande moto au baridi
Kwa umri wako Nadhani kusoma Biblia itakusaidia sana kujiandalia naniliii Mwema.🥹