Hakikisho la Usalama Kesho Saba Saba, Hali ni Shwari Kabisa, Usalama Umeimarishwa!, Umetolewa Mwito Tujitokeze kwa Wingi, Kilele cha Saba Saba!

Nna miaka mingi sana sijaenda huko,zamani kilichokuwa kinatupeleka 77
Ilikuwa lile banda la tbl bar yao iliwekwa ukiagiza bia 1 unapewa offer bia moja
Ukiagiza ya 2 bia unapewa 1
Ilikuwa burdan

Ova
 
Usilolijua serikali ndiyo inayo umia maana inatumia garama kubwa sana kuzuia maandamano haya fikiri tu yule mwaipopo, machifu, boda boda, taasisi za usalama, mafuta yanayo tumia nk, ni pesa ngapi zinateketea? Bado kuna watu wa mfumo wanajilipa hela za bure tu kisingizio wanalinda nchi.
 
Kwa nini katambi ana wasiwasi muda wote
 
Asubuhi angalia reaction. Kama njia zote zitajaa askari wenye mitutu za kuambiwa changanya na zako.

Kama ww sio mwalifu kwann uogope wingi wa Askari wakiwa kwenye majukumu ya kukuakikishia Usalama wako. ❗️❗️

Tatizo michadema mingi popote walipo nikama wananuka Bang!!❗️
Ndiomana wao na Polisi ni matatizo tu❗️
 
Mwaipopo amesema kutembea pamoja mwisho wawili
 
Rejea ni Oct 29 na 30.
 
Kilicholeta taharuki mpaka murudie rudie kuwa hali ya usalama ni nini!!?
Ni maandamano au kuna kingine!!?
 

Kwani kusudi lako ni nini haswa?
Hukufiwa kwani wewe 10/29?


Vipi tukiwaambia

NANE NANE Maandamano mengine

8/8/ hiyooooooo
 
Hivi Ile Kampuni yake imepata matangazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…