TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

Kuna watu wanaona sifa kupost habari za vifo. Huu upuuzi usiendekezwe jamani
Lissu alivyo miminiwa risasi humu wewe na id yako nyingine ya Kawe Alumni mlikuwa mnashabikia sana kila kukicha afe. Kuweni na staha japo kidogo. Utadhani ndondocha.

Nafiki mkubwa usidhani una kinga eti MATAGA haupo salama we are tracking your evey single move and when the right time comes we gonna fix you all.
 
Mleta mada wewe utakuwa mchawi unayeshinda Mortuary nimekuwa nakufuatilia naona kutwa wewe ni kuanzisha mada za vifo tu
Sijui motive yake ila huenda kufanya kwake hivyo ni kukumbusha wengine wawe carefully (kuwakumbusha kifo kipo na kinaweza kuepukika husasan kile cha kuambukizwa na regularly kucheki afya).

Technically naweza kusema yule anayeficha vifo anasema havipo / havijaongezeka ; wakati labda vimeongezeka ndio mchawi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…