TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

Kuna watu wanaona sifa kupost habari za vifo. Huu upuuzi usiendekezwe jamani
Lissu alivyo miminiwa risasi humu wewe na id yako nyingine ya Kawe Alumni mlikuwa mnashabikia sana kila kukicha afe. Kuweni na staha japo kidogo. Utadhani ndondocha.

Nafiki mkubwa usidhani una kinga eti MATAGA haupo salama we are tracking your evey single move and when the right time comes we gonna fix you all.
 
Aliyekuwa hakimu mahakama ya Kisutu na baadae kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia. Nakumbuka aliendesha na kutoa hukumu kesi mojawapo iliyokuwa inamkabili ndugu Maxence Mello na Jamiiforums.

Mwambapa.jpg
 
Mleta mada wewe utakuwa mchawi unayeshinda Mortuary nimekuwa nakufuatilia naona kutwa wewe ni kuanzisha mada za vifo tu
Sijui motive yake ila huenda kufanya kwake hivyo ni kukumbusha wengine wawe carefully (kuwakumbusha kifo kipo na kinaweza kuepukika husasan kile cha kuambukizwa na regularly kucheki afya).

Technically naweza kusema yule anayeficha vifo anasema havipo / havijaongezeka ; wakati labda vimeongezeka ndio mchawi.
 
Inakuuma nini mkuu? Mbona radio one kila siku kunamatangazo ya vifoo.

Kuna watu inatusaidia kujua marafiki/jamaa waliofariki na tulipotezana nao mda mrefu.

Kama Jana nilipata habari ya Peter mamiro aliekufa na mkewe.

Achana na kuendekeza siasa kila mahali. Wengine wamekufa kwa ajali sio kila mtu ni corona.
20210211_131723.jpg
 
Back
Top Bottom