TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

Mkuu usiumize kichwa kwa hiyo misukule! Huwa haina reasoning. Wenyewe wanaishi kwa maelekezo ya wakubwa zao. Na pia jukumu lao kubwa ni kuabudu na kusifu tu.

Ni kama vile bendera! Huishi kwa kufuata upepo. Akijitokeza Bosi wao kesho kutangaza uwepo wa korona nchini, utashangaa wote wanakuja humu na nyuzi za kumuunga mkono na pia kumsifia huyo kiongozi wao.
 
kifo ni somo tosha kwa sisi tulio baki hai, tenda mema kwa binaadamu wenzako, acha wivu acha chuki, acha majungu, penda binaadamu wenzako. kumbuka kifo pembeni yako kila sekunde.
pole sana kwa familia yake na wafanyakazi wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hoja
Hoja ni kwamba kumekua na wimbi kubwa la watu kuzusha ama kuzua taharuki kwa kuhusisha vifo vya watu na hili janga, kama haujui chanzo cha kifo chake umekuja mbio kuripoti kwa malengo gani?
 
Hoja ni kwamba kumekua na wimbi kubwa la watu kuzusha ama kuzua taharuki kwa kuhusisha vifo vya watu na hili janga, kama haujui chanzo cha kifo chake umekuja mbio kuripoti kwa malengo gani?
Je hajafa? Hoja yako ilikuwa kuzusha vifo, pamoja na moderator kuongeza nyama bado huamini kama hatuzushi au unataka mapambano ya kisiasa au kwa vile mimi niliyeleta hii taarifa natokea Chadema, mbona jana nimekuletea Taarifa ya Ntagazwa kufariki na amefariki kweli, sababu za wewe kutoniamini ni zipi na wewe ni nani hasa hadi kudhani usipoamini wewe basi taarifa inakuwa si ya kweli?
 
Wewe unapenda kuleta habari za kifo na kuongeza Chumvi. Niendelee
 
Hoja ni kwamba kumekua na wimbi kubwa la watu kuzusha ama kuzua taharuki kwa kuhusisha vifo vya watu na hili janga, kama haujui chanzo cha kifo chake umekuja mbio kuripoti kwa malengo gani?
Huyu Erythrocyte naye tunamuombea kwa Mungu amchukue ili habari zake nazo ziwekwe chumvi.
 
Kumbe aliadhibiwa kwa kuwaachia huru!
 
RIP Hakimu Mwambapa, poleni familia na marafiki wote.

Kwa kuangalia utendaji wake kama mtu wa kutoa haki kwa kutafsiri sheria, marehemu alifanya kazi kwa weledi mkubwa.

Mungu amlaze pema peponi, amen.
 
Alikuepo Dodoma siku ile ya kuadhimisha Uhuru wa Mahakama? Kama alikuweopo basi huyu atakua wa tatu tangu juzi
 
Alikuepo Dodoma siku ile ya kuazimisha Uhuru wa Mahakama? Kama alikueopo basi huyu atakua wa tatu tangu juzi
Duuh waliotangulia ni kina nani!?
Sio kwa majina bali nao ni mahakimu ama!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…