Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mkuu usiumize kichwa kwa hiyo misukule! Huwa haina reasoning. Wenyewe wanaishi kwa maelekezo ya wakubwa zao. Na pia jukumu lao kubwa ni kuabudu na kusifu tu.Inakuuma nini mkuu? Mbona radio one kila siku kunamatangazo ya vifoo.
Kuna watu inatusaidia kujua marafiki/jamaa waliofariki na tulipotezana nao mda mrefu.
Kama jana nilipata habari ya Peter mamiro aliekufa na mkewe.
Achana na kuendekeza siasa kila mahali. Wengine wamekufa kwa ajali sio kila mtu ni corona.
Ni kama vile bendera! Huishi kwa kufuata upepo. Akijitokeza Bosi wao kesho kutangaza uwepo wa korona nchini, utashangaa wote wanakuja humu na nyuzi za kumuunga mkono na pia kumsifia huyo kiongozi wao.