TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa ni wiki ya sheria ... kumbe ndo tuliagana leo naambiwa Covid imepita naye, why watu tusiwekwe wazi ijulikane tuchukue tahadhari kila unapopita ni misiba, huyu atakwambia mama huyu atakwambia baba mwingine mama mdogo hapa nilipo mume wangu ananiambia baba mdogo wake hali si nzuri jamani why mnaficha Dorothy ni kutafuta ugali tu au kuna lingine sometimes i wish mawaziri waanze kudondoka na wao ili wauchukulie serious people are dying ...... shame on them
 
Bahati mbaya wao lazima watakuwa wanajikinga. Sidhani kama wanazembea kulinda uhai wao na wa wale wawapendao au familia zao. So watu ni vema wasisubiri kutangaziwa wachukue tahadhari.
 
RIP Hakimu Mwambapa, poleni familia na marafiki wote.

Kwa kuangalia utendaji wake kama mtu wa kutoa haki kwa kutafsiri sheria , marehemu alifanya kazi kwa weledi.

Mungu amlaze pema peponi, amen.
Sifa nzuri anapewa marehemu usikariri
 
cc Kichuguu mbona umeadimika sana? Njoo uone ''the Bold Magufuli wako asivyojali.
 
Apumzike kwa amani mtetezi wa haki za wasio na sauti
 
Kama anaona wivu, afe na yeye tutampost
 
Pole kwa waliofikwa na msiba huu,

Naona tasnia ya Sheria Kila baada ya siku moja au mbili hawakosi tangazo la msiba.

Jamaa alikua humble sana nakumbuka kumkuta pale mahakama ya kisutu.
 
RIP to him ,
I knew the guy in Mwanza City, we could occasionally meet on weekends at sparrow hotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…