TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa ni wiki ya sheria ... kumbe ndo tuliagana leo naambiwa Covid imepita naye, why watu tusiwekwe wazi ijulikane tuchukue tahadhari kila unapopita ni misiba, huyu atakwambia mama huyu atakwambia baba mwingine mama mdogo hapa nilipo mume wangu ananiambia baba mdogo wake hali si nzuri jamani why mnaficha Dorothy ni kutafuta ugali tu au kuna lingine sometimes i wish mawaziri waanze kudondoka na wao ili wauchukulie serious people are dying ...... shame on them
 
Mara ya mwisho kumuona wiki ya she

mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa ni wiki ya sheria ... kumbe ndo tuliagana leo naambiwa Covid imepita naye why watu tusiwekwe wazi ijulikane tuchukue tahadhari kila unapopita ni misiba huyu atakwambia mama huyu atakwambia baba mwingine mama mdogo hapa nilipo mume wangu ananiambia baba mdogo wake hali si nzuri jamani why mnaficha Dorothy ni kutafuta ugali tu au kuna lingine sometimes i wish mawaziri waanze kudondoka na wao ili wauchukulie serious people are dying ...... shame on them
Bahati mbaya wao lazima watakuwa wanajikinga. Sidhani kama wanazembea kulinda uhai wao na wa wale wawapendao au familia zao. So watu ni vema wasisubiri kutangaziwa wachukue tahadhari.
 
RIP Hakimu Mwambapa, poleni familia na marafiki wote.

Kwa kuangalia utendaji wake kama mtu wa kutoa haki kwa kutafsiri sheria , marehemu alifanya kazi kwa weledi.

Mungu amlaze pema peponi, amen.
Sifa nzuri anapewa marehemu usikariri
 
Aliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia.

Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia

Pumzika kwa amani

===========

Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu-Mtwara, Marehemu Godfrey Mwambapa (pichani) kilichotokea leo Februari 11, 2021.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu zinasema kuwa marehemu alifikwa na umauti leo saa moja (1) asubuhi alipokuwa akipelekwa hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu.

Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Nanyumbu-Mtwara huku taratibu za kusafirisha mwili kuelekea Mbeya zikifanyika.

Mahakama inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

========

Hakimu Mwambapa katika uhai wake alisikiliza na kutoa hukumu katika kesi mojawapo zilizokuwa zinaikabili JamiiForums na Viongozi wake mahakama ya Kisutu. Hakimu Mwambapa aliwaachilia huru Maxence Melo na Micke William kwa kuona hawana Hatia. Baadae hakimu Mwambapa alihamishiwa mahakama ya Mtwara

Zaidi, soma:

Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

View attachment 1699758
cc Kichuguu mbona umeadimika sana? Njoo uone ''the Bold Magufuli wako asivyojali.
 
Apumzike kwa amani mtetezi wa haki za wasio na sauti
 
Inakuuma nini mkuu? Mbona radio one kila siku kunamatangazo ya vifoo.

Kuna watu inatusaidia kujua marafiki/jamaa waliofariki na tulipotezana nao mda mrefu.

Kama jana nilipata habari ya Peter mamiro aliekufa na mkewe.

Achana na kuendekeza siasa kila mahali. Wengine wamekufa kwa ajali sio kila mtu ni corona.
Kama anaona wivu, afe na yeye tutampost
 
Pole kwa waliofikwa na msiba huu,

Naona tasnia ya Sheria Kila baada ya siku moja au mbili hawakosi tangazo la msiba.

Jamaa alikua humble sana nakumbuka kumkuta pale mahakama ya kisutu.
 
RIP to him ,
I knew the guy in Mwanza City, we could occasionally meet on weekends at sparrow hotel
 
Back
Top Bottom