Hakimu kukataa kujitoa kwenye kesi

Hakimu kukataa kujitoa kwenye kesi

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Wana Jamiiforums naomba nielemishwe, hivi Mhe. Hakimu akikataa kujitoa kwenye kesi, nini kinafuata?. Walalamikaji wana nafasi gani kwenye rufaa?.
 
Kwanza ungeelezea kinacho kusibu, ili walau tupate picha halisi ya kilicho pelekea hakumu kutia mgomo kujitoa kwenye kesi.
 
Wana Jamiiforums naomba nielemishwe, hivi Mhe. Hakimu akikataa kujitoa kwenye kesi, nini kinafuata?. Walalamikaji wana nafasi gani kwenye rufaa?.
Case ipo mahakama gani kwa sasa.? Tambua kwenye system ya kimahakama kuna mpangilio (court hierarchy) na court ya mwisho kusikikiza maombi ya awali Ni mahakama kuu(The High Court of Tanzania), ikifuatiwa na mahakama ya rufaa kwa mujibu wa kukata rufaa(The Court of Appeal of Tanzania), hii Ni kwa mujibu wa taratibu za Tanzania.
 
Unaeshitakiwa unajitoa unawaacha waendelee na ustaarabu wao
 
Mkuu mletamada, kwanza jua kuwa maombi ya kutaka Jaji au Hakimu ajitoe ni maombi kama yalivyo maombi mengine mahakamani. Yaani, ni kama maombi ya kuongezewa muda na kadhalika. Pili, maombi ya kutaka Jaji au Hakimu ajitoe, pamoja ni kuwa haki ya Muombaji, husikilizwa na kutolewa uamuzi. Uamuzi unaweza kuwa Jaji au Hakimu kukubaliana na Maombi ya kujitoa kwake na hivyo kujitoa.

Au, Jaji au Hakimu anaweza kuyakataa maombi na kuendelea kuisikiliza kesi husika. Ndiyo kusema, Jaji au Hakimu si lazima ajitoe anapoombwa kufanya hivyo. Anasikiliza hoja na kuzitolea majibu kwa njia ya Uamuzi.Tatu, kwakuwa ni maombi yanayoambatana na uamuzi kwayo, pande isiyoridhika inaweza kukata rufaa kwenda kwenye mahakama inayofuata. Kulingana na muundo wa kimahakama, kuna Mahakama zifuatazo: Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya/Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani.
 
Case ipo mahakama gani kwa sasa.? Tambua kwenye system ya kimahakama kuna mpangilio (court hierarchy) na court ya mwisho kusikikiza maombi ya awali Ni mahakama kuu(The High Court of Tanzania), ikifuatiwa na mahakama ya rufaa kwa mujibu wa kukata rufaa(The Court of Appeal of Tanzania), hii Ni kwa mujibu wa taratibu za Tanzania.
Kasema "Mhe Hakimu" we unahisi itakua Mahakama ya Ndizi mabibo au Ya Mbuzi Vingunguti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe una maanisha hizo mahakama.? Hapa tunaongelea Mahakama kama sehemu za kusikilizia mashauri mbalimbali kwa mujibu wa Sheria, ...update Ubongo wako huko ulipo hakuendani na kilo za mwilo wako MKUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Im the fuckin heavyweight. Aint nobody can challenge me in those so called courts of justice...here in the Republic of Tanganyika...

Watch Me. Be an unsworn witness!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mletamada, kwanza jua kuwa maombi ya kutaka Jaji au Hakimu ajitoe ni maombi kama yalivyo maombi mengine mahakamani. Yaani, ni kama maombi ya kuongezewa muda na kadhalika. Pili, maombi ya kutaka Jaji au Hakimu ajitoe, pamoja ni kuwa haki ya Muombaji, husikilizwa na kutolewa uamuzi. Uamuzi unaweza kuwa Jaji au Hakimu kukubaliana na Maombi ya kujitoa kwake na hivyo kujitoa.

Au, Jaji au Hakimu anaweza kuyakataa maombi na kuendelea kuisikiliza kesi husika. Ndiyo kusema, Jaji au Hakimu si lazima ajitoe anapoombwa kufanya hivyo. Anasikiliza hoja na kuzitolea majibu kwa njia ya Uamuzi.Tatu, kwakuwa ni maombi yanayoambatana na uamuzi kwayo, pande isiyoridhika inaweza kukata rufaa kwenda kwenye mahakama inayofuata. Kulingana na muundo wa kimahakama, kuna Mahakama zifuatazo: Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya/Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani.
Kwenye fani mkuu uko vizuri, je na kesi ya msingi kama ipo Arusha, alafu unaenda kukata rufaa Iringa hilo linakubalika kisheria?
 
Ain't battling wit brook &foolish Bush kids, Men huwezi fika hizi heights, next time ntakualika kisutu uone wat LEARNT BROTHERS kama mimi waweza fanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
So hapo ndo Kisutu sio?? Unalima mahindi kisutu eti?

See what kind of bush lawyer you are??

Putz!!
Screenshot_20180826-212630.jpg
Screenshot_20180826-212650.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom