Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case ipo mahakama gani kwa sasa.? Tambua kwenye system ya kimahakama kuna mpangilio (court hierarchy) na court ya mwisho kusikikiza maombi ya awali Ni mahakama kuu(The High Court of Tanzania), ikifuatiwa na mahakama ya rufaa kwa mujibu wa kukata rufaa(The Court of Appeal of Tanzania), hii Ni kwa mujibu wa taratibu za Tanzania.Wana Jamiiforums naomba nielemishwe, hivi Mhe. Hakimu akikataa kujitoa kwenye kesi, nini kinafuata?. Walalamikaji wana nafasi gani kwenye rufaa?.
Yaani unasusa au unafanya maandamano.Unaeshitakiwa unajitoa unawaacha waendelee na ustaarabu wao
Kasema "Mhe Hakimu" we unahisi itakua Mahakama ya Ndizi mabibo au Ya Mbuzi Vingunguti?Case ipo mahakama gani kwa sasa.? Tambua kwenye system ya kimahakama kuna mpangilio (court hierarchy) na court ya mwisho kusikikiza maombi ya awali Ni mahakama kuu(The High Court of Tanzania), ikifuatiwa na mahakama ya rufaa kwa mujibu wa kukata rufaa(The Court of Appeal of Tanzania), hii Ni kwa mujibu wa taratibu za Tanzania.
Kumbe una maanisha hizo mahakama.? Hapa tunaongelea Mahakama kama sehemu za kusikilizia mashauri mbalimbali kwa mujibu wa Sheria, ...update Ubongo wako huko ulipo hakuendani na kilo za mwilo wako MKUU...Kasema "Mhe Hakimu" we unahisi itakua Mahakama ya Ndizi mabibo au Ya Mbuzi Vingunguti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Im the fuckin heavyweight. Aint nobody can challenge me in those so called courts of justice...here in the Republic of Tanganyika...Kumbe una maanisha hizo mahakama.? Hapa tunaongelea Mahakama kama sehemu za kusikilizia mashauri mbalimbali kwa mujibu wa Sheria, ...update Ubongo wako huko ulipo hakuendani na kilo za mwilo wako MKUU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye fani mkuu uko vizuri, je na kesi ya msingi kama ipo Arusha, alafu unaenda kukata rufaa Iringa hilo linakubalika kisheria?Mkuu mletamada, kwanza jua kuwa maombi ya kutaka Jaji au Hakimu ajitoe ni maombi kama yalivyo maombi mengine mahakamani. Yaani, ni kama maombi ya kuongezewa muda na kadhalika. Pili, maombi ya kutaka Jaji au Hakimu ajitoe, pamoja ni kuwa haki ya Muombaji, husikilizwa na kutolewa uamuzi. Uamuzi unaweza kuwa Jaji au Hakimu kukubaliana na Maombi ya kujitoa kwake na hivyo kujitoa.
Au, Jaji au Hakimu anaweza kuyakataa maombi na kuendelea kuisikiliza kesi husika. Ndiyo kusema, Jaji au Hakimu si lazima ajitoe anapoombwa kufanya hivyo. Anasikiliza hoja na kuzitolea majibu kwa njia ya Uamuzi.Tatu, kwakuwa ni maombi yanayoambatana na uamuzi kwayo, pande isiyoridhika inaweza kukata rufaa kwenda kwenye mahakama inayofuata. Kulingana na muundo wa kimahakama, kuna Mahakama zifuatazo: Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya/Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani.
Haaaaah haaah, ooouh well then...Im the fuckin heavyweight. Aint nobody can challenge me in those so called courts of justice...here in the Republic of Tanganyika...
Watch Me. Be an unsworn witness!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ain't battling wit brook &foolish Bush kids, Men huwezi fika hizi heights, next time ntakualika kisutu uone wat LEARNT BROTHERS kama mimi waweza fanya.
So hapo ndo Kisutu sio?? Unalima mahindi kisutu eti?Ain't battling wit brook &foolish Bush kids, Men huwezi fika hizi heights, next time ntakualika kisutu uone wat LEARNT BROTHERS kama mimi waweza fanya.
Sent using Jamii Forums mobile app