Hakimu wa Magoma ahojiwe

Hakimu wa Magoma ahojiwe

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?

Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye mwenyewe na hajamkabidhi mtu yeyote, je hukumu ilifikaje mitandaoni, nani kawapa walioitoa kwenye public?

Aliyesikiliza kesi hana la kujibu?
 
Huu uzi upo kichovu sana ! Nani alikuambia maamuzi ya,mahakama ni suala la mtu binafsi?
 
Kwahiyo jopo lilikuwa na uhakika pasipo shaka na uwakilishi uliowailishwa mahakani kuwa ni halisi? Halikuhitaji taarifa za ziada kutoka kwenye club Wala kwa wadhamini walioshitakiwa (deli diligence)?
 
Nipo hapa RITA nimekuja kuuliza katiba ya mwaka gani ipo kwenye makabrasha yao na majina ya wadhamini wa yanga.
RITA ya juzi tu hiyo, Yanga ilikuwepo tangu 1935. Wanachama akidi ikitimia wakiamua kujenga bar badala ya uwanja hakuna mahakama inayoweza kuhoji kwanini mnajenga bar badala ya uwanja wa mpira. Kama katiba iliyoko iliiwezesha Yanga kushiri mashindano ya ngao ya jamii, ligi, FA, CAF federation, na caf champions bila shaka katiba hiyo ni halali TFF, BMT, CECAFA, CAF na FIFA. Anaetaka kuhoji uhalali wa katiba alitakiwa kwanza kuonana na TFF na BMT kabla ya kufanya lolote, nyashu hawa!!!

Nadhani Magoma alikosea timing au alikosa time ya kufyatua mtego wake. Nadhani alikuwa akisubiri Yanga iteleze kwenye ligi (hasa kufungwa na Simba) ili aunganishe hukumu yake feki kwenye lawama kwa viongozi. Bahati mbaya kwake Yanga inafanya vizuri kwa miaka 3 mfululizo hivyo walikosa wakati muafaka wa kulipua bomu lao, shame.
 
Lini ulisikia hakimu anahojiwa kuhusu hukumu aliyotoa?
Kawaida usiporudhika na hukum unakata rufaa ili kesi iende mahakama ya juu zaidi .

Haya ni Mambo yanayofundishwa darasa la 6 na sio law school
 
Rejea ya maneno ya RA kuhusu mahakama zetu izingatiwe kwenye huu mjadala.
 
Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?

Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye mwenyewe na hajamkabidhi mtu yeyote, je hukumu ilifikaje mitandaoni, nani kawapa walioitoa kwenye public?

Aliyesikiliza kesi hana la kujibu?
Kakate rufaa upeleke ushahidi wako.
 
Ndio maana tunasema huko wenye akili walikuwa wawili Ila mzee Magoma kaongezeka kawa watatu.
Badala ya kuhoji hukumu unataka kumhoji mtoa hukumu.
Kama cabbage in cabbage out. Mtoa hukumu katumia malighafi fake kwenye kuchakata kesi iliyoletwa mbele yake, hivyo lazima hukumu itakuwa fake pia. Hata Magoma anajuta ni nani kawapa Yanga nakala ya hukumu wakati original anayo yeye. Hebu msikilize

View: https://www.youtube.com/watch?v=C4SeZ-F13ow
 
Hersi akabidhi funguo tu hakuna namna.
Sasa hivi Magoma anadai mama Fatma alisafiri, mwingine ni mzee na mwingine anaumwa kichwa hivyo wote hao hawakudhuria kwenye kesi, sasa kama Mama Fatma hakuwepo Tanzania sahihi yake waliipata wapi? Wamekwisha
 
RITA ya juzi tu hiyo, Yanga ilikuwepo tangu 1935. Wanachama akidi ikitimia wakiamua kujenga bar badala ya uwanja hakuna mahakama inayoweza kuhoji kwanini mnajenga bar badala ya uwanja wa mpira. Kama katiba iliyoko iliiwezesha Yanga kushiri mashindano ya ngao ya jamii, ligi, FA, CAF federation, na caf champions bila shaka katiba hiyo ni halali TFF, BMT, CECAFA, CAF na FIFA. Anaetaka kuhoji uhalali wa katiba alitakiwa kwanza kuonana na TFF na BMT kabla ya kufanya lolote, nyashu hawa!!!

Nadhani Magoma alikosea timing au alikosa time ya kufyatua mtego wake. Nadhani alikuwa akisubiri Yanga iteleze kwenye ligi (hasa kufungwa na Simba) ili aunganishe hukumu yake feki kwenye lawama kwa viongozi. Bahati mbaya kwake Yanga inafanya vizuri kwa miaka 3 mfululizo hivyo walikosa wakati muafaka wa kulipua bomu lao, shame.
Duh hukumu ya mahakama ni feki...
 
Kwahiyo jopo lilikuwa na uhakika pasipo shaka na uwakilishi uliowailishwa mahakani kuwa ni halisi? Halikuhitaji taarifa za ziada kutoka kwenye club Wala kwa wadhamini walioshitakiwa (deli diligence)?
Taarifa za ziada kutoka wapi tena wakati washtaki na washtakiwa wote wanahudhuria vizuri kortini?
Wenye akili huko ni watatu
1. JK
2. Mzee Manara
3. Nzee Magoma
 
Back
Top Bottom