kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Azikilizwe ana hoja? Mwenyewe sasa hivi ana hofu kubwa ya kufa mtu. Ujanjaujanja lazima ukomeahwe once for all. Yanga ya Leo sio ileile ya wandengeleko akina Manara, juma mkambi, kajole na tabu mangala, hii ya sasa ni Yanga ya akina Aziz ki, Diara, yao, pacome, maxi na gamondi. Watu wametia pesa ya kufa mtu sio ujanjaujanja. Wazee kama hawa wamekuzwa na fedha za Yanga tangu utotoni, wakatafute njia nyingine za kujikimu.Hapana mkuu sina hofu nachoshauri Mzee Magoma asikilizwe