Hakimu wa Magoma ahojiwe

Hakimu wa Magoma ahojiwe

Hapana mkuu sina hofu nachoshauri Mzee Magoma asikilizwe
Azikilizwe ana hoja? Mwenyewe sasa hivi ana hofu kubwa ya kufa mtu. Ujanjaujanja lazima ukomeahwe once for all. Yanga ya Leo sio ileile ya wandengeleko akina Manara, juma mkambi, kajole na tabu mangala, hii ya sasa ni Yanga ya akina Aziz ki, Diara, yao, pacome, maxi na gamondi. Watu wametia pesa ya kufa mtu sio ujanjaujanja. Wazee kama hawa wamekuzwa na fedha za Yanga tangu utotoni, wakatafute njia nyingine za kujikimu.
 
Hakimu ni MwanaSimba mwenzetu kindakindaki!
Uhusiano kati ya Magoma mwenyekiti wa wadhamini, Hakimu na ofisa wa RITA waliohusika na kesi hii lazima wachunguzwe integrity yao.
 
Lini ulisikia hakimu anahojiwa kuhusu hukumu aliyotoa?
Kawaida usiporudhika na hukum unakata rufaa ili kesi iende mahakama ya juu zaidi .

Haya ni Mambo yanayofundishwa darasa la 6 na sio law school
Hakuna kazi ya umma isiyokuwa na internal auditing.
 
Ndio maana tunasema huko wenye akili walikuwa wawili Ila mzee Magoma kaongezeka kawa watatu.
Badala ya kuhoji hukumu unataka kumhoji mtoa hukumu.
Magoma kashindwa kesi, mm huwa siandiki utumbo kama wewe. Hakimu wa magoma kapokea na kuiendesha na kutoa hukumu kesi ambayo ilipaswa kufunguliwa mahaka kuu. Unataka kusema hakimu huyo alikuwa hajui hivyo? Ameufedhesha mhimili wa sheria. Anastahili kupewa adhabu na mhimili wenyewe kwa kuondolewa kwenye mhimili. Wakili wa magoma amekili kuwa yeye ni Simba, Kuna nini hapo? Bila shaka hata hakimu ni Simba. Huu ni uozo wa wazi kwenye mhimili.
 
Back
Top Bottom