Huu uzi upo kichovu sana ! Nani alikuambia maamuzi ya,mahakama ni suala la mtu binafsi?Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?
Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye mwenyewe na hajamkabidhi mtu yeyote, je hukumu ilifikaje mitandaoni, nani kawapa walioitoa kwenye public?
Aliyesikiliza kesi hana la kujibu?
Kwahiyo jopo lilikuwa na uhakika pasipo shaka na uwakilishi uliowailishwa mahakani kuwa ni halisi? Halikuhitaji taarifa za ziada kutoka kwenye club Wala kwa wadhamini walioshitakiwa (deli diligence)?Huu uzi upo kichovu sana ! Nani alikuambia maamuzi ya,mahakama ni suala la mtu binafsi?
RITA ya juzi tu hiyo, Yanga ilikuwepo tangu 1935. Wanachama akidi ikitimia wakiamua kujenga bar badala ya uwanja hakuna mahakama inayoweza kuhoji kwanini mnajenga bar badala ya uwanja wa mpira. Kama katiba iliyoko iliiwezesha Yanga kushiri mashindano ya ngao ya jamii, ligi, FA, CAF federation, na caf champions bila shaka katiba hiyo ni halali TFF, BMT, CECAFA, CAF na FIFA. Anaetaka kuhoji uhalali wa katiba alitakiwa kwanza kuonana na TFF na BMT kabla ya kufanya lolote, nyashu hawa!!!Nipo hapa RITA nimekuja kuuliza katiba ya mwaka gani ipo kwenye makabrasha yao na majina ya wadhamini wa yanga.
Kakate rufaa upeleke ushahidi wako.Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?
Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye mwenyewe na hajamkabidhi mtu yeyote, je hukumu ilifikaje mitandaoni, nani kawapa walioitoa kwenye public?
Aliyesikiliza kesi hana la kujibu?
Kama cabbage in cabbage out. Mtoa hukumu katumia malighafi fake kwenye kuchakata kesi iliyoletwa mbele yake, hivyo lazima hukumu itakuwa fake pia. Hata Magoma anajuta ni nani kawapa Yanga nakala ya hukumu wakati original anayo yeye. Hebu msikilizeNdio maana tunasema huko wenye akili walikuwa wawili Ila mzee Magoma kaongezeka kawa watatu.
Badala ya kuhoji hukumu unataka kumhoji mtoa hukumu.
Sasa hivi Magoma anadai mama Fatma alisafiri, mwingine ni mzee na mwingine anaumwa kichwa hivyo wote hao hawakudhuria kwenye kesi, sasa kama Mama Fatma hakuwepo Tanzania sahihi yake waliipata wapi? WamekwishaHersi akabidhi funguo tu hakuna namna.
Duh hukumu ya mahakama ni feki...RITA ya juzi tu hiyo, Yanga ilikuwepo tangu 1935. Wanachama akidi ikitimia wakiamua kujenga bar badala ya uwanja hakuna mahakama inayoweza kuhoji kwanini mnajenga bar badala ya uwanja wa mpira. Kama katiba iliyoko iliiwezesha Yanga kushiri mashindano ya ngao ya jamii, ligi, FA, CAF federation, na caf champions bila shaka katiba hiyo ni halali TFF, BMT, CECAFA, CAF na FIFA. Anaetaka kuhoji uhalali wa katiba alitakiwa kwanza kuonana na TFF na BMT kabla ya kufanya lolote, nyashu hawa!!!
Nadhani Magoma alikosea timing au alikosa time ya kufyatua mtego wake. Nadhani alikuwa akisubiri Yanga iteleze kwenye ligi (hasa kufungwa na Simba) ili aunganishe hukumu yake feki kwenye lawama kwa viongozi. Bahati mbaya kwake Yanga inafanya vizuri kwa miaka 3 mfululizo hivyo walikosa wakati muafaka wa kulipua bomu lao, shame.
Itafute taarifa waliyoitoa yanga ndio utajua kama Magoma the great ameomba kukazia hukumu au la.kama sio feki aombe kukazia hukumu ili viongozi watoke ofisini, mbona amekaa na huku tangu Augost 2023? anasubiri nini kwenda kukalia ofisi zile?
Wanajibu kwa mihemko wakati hata uhalisia hawajui, wanabaki kuwasikiliza Manara na Kitenge Kama vile wamesomea Sheria.Itafute taarifa waliyoitoa yanga ndio utajua kama Magoma the great ameomba kukazia hukumu au la.
Utatupa mrejesho, maana katiba iliyovunjwa niya mwaka 2010Nipo hapa RITA nimekuja kuuliza katiba ya mwaka gani ipo kwenye makabrasha yao na majina ya wadhamini wa yanga.
Taarifa za ziada kutoka wapi tena wakati washtaki na washtakiwa wote wanahudhuria vizuri kortini?Kwahiyo jopo lilikuwa na uhakika pasipo shaka na uwakilishi uliowailishwa mahakani kuwa ni halisi? Halikuhitaji taarifa za ziada kutoka kwenye club Wala kwa wadhamini walioshitakiwa (deli diligence)?