Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Karatu ananyanyasa

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Karatu ananyanyasa

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Posts
1,757
Reaction score
277
Ingawa dhamana ni haki mtu kikatiba, lakini Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo wa Karatu, Martina Fue anawanyima watuhumiwa dhamana ama kuweka masharti magumu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Hali hiyo inawapa watu wa Karatu kuwa na maisha magumu kutokana na ukiukaji wa taratibu.

Makosa ya Mahakama ya Mwanzo ni makosa madogomadogo na kuweka masharti makali kwa sababu zake binafsi ni ukiukaji wa haki za binadamu.
 
Naona TAKUKURU Mkoa wa Arusha hawaoni hata hilo.

Habari za rushwa za huyo hakimu zimeenea sana na anaruhusu watu kufungua hata kesi za jinai mahakamni ili kuwakomoa washtakiwa! Pamoja na kwamba sheria inaruhusu kwa nini anatumia hizo shortcuts wakati hawezi kufanya upelelezi bila polisi? Bila shaka mkubwa wake hapa Karatu anahusika pia!

Msajili wa mahakama mkoani Arusha you are sleeping on the job - hufanyi ukaguzi!!!!
 
Bora sasa TAKUKURU Karatu wamemng'amua.
 
Hii rushwa ya Mahakama za Karatu ni mtandao wa wakubwa?
 
Huyo Hakimu Fue yupo wapi siku hizi? Au upepo wa Mh. Dk. Magufuli umemchukua? Mwenye habari zake atupashe.
 
Kuna mtandao mkubwa xana wa rushwa mahakamani unaofanywa na matajiri hapa karatu.
 
Duh huyu Mwishimiwa kaamua kwenda kupoza upepo Law School, wonders will never end in Bongo land.
 
Bora kaondoka hapa Karatu hata kama siyo kusoma maana kasi ya Magufuli isingembakiza.
 
Back
Top Bottom