Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 277
Ingawa dhamana ni haki mtu kikatiba, lakini Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo wa Karatu, Martina Fue anawanyima watuhumiwa dhamana ama kuweka masharti magumu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Hali hiyo inawapa watu wa Karatu kuwa na maisha magumu kutokana na ukiukaji wa taratibu.
Makosa ya Mahakama ya Mwanzo ni makosa madogomadogo na kuweka masharti makali kwa sababu zake binafsi ni ukiukaji wa haki za binadamu.
Makosa ya Mahakama ya Mwanzo ni makosa madogomadogo na kuweka masharti makali kwa sababu zake binafsi ni ukiukaji wa haki za binadamu.