DOKEZO Hakimu wa Mkoa Rukwa Mh Saguda awakata pesa za posho watumishi wa mahakama kwaajili ya msiba wa mama mkwe wa Jaji Mfawidhi bila ridhaa yao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huko Kilimanjaro, kesho tarehe 8.2.2024, Afisaelimu elimu Mkoa naye amempitisha mkeka wa lazima Kila mwalimu kuchangia fedha ili waweze kwenda kwenye kikao chake cha mkoa .

Kikao hicho kinafanyika tar 8.2.2024 ili fedha zimekusanywa mamilioni Kwa maelfu kutoka kwenye mifuko ya walimu.

Mkuu wa Mkoa tumempigia simu kumjulisha sekeseke Hilo , amepokea akasema mama Anaupiga mwingi.


Hali sio shwari hata kidogo Kwa watumishi wa umma.
 
Nimecheka kusikia hata nyie wabobezi wa sheria mnadhurumiwa na hamjui pa kwenda.
Mi nungelikuwa ni wewe nigemfungulia kesi mahakamani ili washughulikiwe badala ya humu jamii forums
 
Wewe haujui fitina za maofisini, ungekaa kimya usingepungukiwa na kitu.
 
Saguda de 47 mtu wangu wa nguvu. Saguda47
 
Wewe unayechangia mada ya lijinga na mimi mleta mada nani lijinga zaidi?

Kwa ujinga ulionao unashindwa kutambua nini maana ya jf na lengo lake ufahamu wako na mbuzi hauna kasoro,hao wanasiasa wenzako wanaopiga kelele unadhani wanakusaidia wewe au familia zao?


Mwisho siyo kila uzi lazima uvue nguo nyingine kaa kimya tu kwani hazijaletwa kwaajili yako,mb...a!!

Sent from my SH-52C using JamiiForums mobile app
 
Eti mama anaupiga mwingi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…