Hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini kuwa naubinaadam

Hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini kuwa naubinaadam

JAMALDIN HAJI

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
187
Reaction score
9
Hakika hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini,jina tunakuhifazi.Kitendo chako chakuomba rushwa ya sh/700000 hakifai.Kumbuka wale ulio wachukulia hizo pesa nibinaadam kama wewe.Kama ulijua huwez kuwasaidia kwanini uliwaomba hiyo pesa?Nawaomba mahakimu kuweni nahuruma nabinaadam wenzenu.Msijali shida zenu tu.Tenden haki pale inapotakiwa.Muwe nahuruma pale inapotakiwa.
 
hapa si suala la kuwa na huruma ila ni kutenda haki,
kutoa na kupokea rushwa ni kosa kisheria kama nao walitoa rushwa ili waonewe huruma ni kosa hakimu pia kama alishawishi apewe na kupokea rushwa ni kosa kama mna ushahidi wa kutosha mpelekeni mahakama au mnaweza kwenda PCCB
 
Huruma walikua nayo watu wa analogie na sio hawa wa digital waganga njaa ka mbwa koko. Lakini watoa rushwa pia hawakua na hakika ya kushinda kesi au ndo kununuliwa kwa haki hata kama ni stahiki yako?
 
huyo hakimu inawezekana nimwanaume.maana kuna hakim hapo mahakaman anapenda sana rushwa.mwenyewe namtafutia kadili,ataingia pcb mda siyo mwingi
 
EX TURP CAUSA NON ORTUR ACTIO inaonekana mpaka mkaombe kusaidiwa kwa 70000 ushahidi ulikuwa wa wazi wazi. Kwa kuwa mlishindwa kumuandalia mtego wakati akichukua huo mlungula sasa imekula kwenu kwani huwezi nkushtaki sehemu yoyote kwa kuwa ilikuwa illegal deal
 
Imenikumbusha kipindi cha Mikingamo (enzi za RTD). Tuhuma inatolewa, jina la mtuhumiwa linahifadhiwa.
Halafu tunalaumu viongozi wetu kwa kukumbatia wahalifu.
 
Hakika hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini,jina tunakuhifazi.Kitendo chako chakuomba rushwa ya sh/700000 hakifai.Kumbuka wale ulio wachukulia hizo pesa nibinaadam kama wewe.Kama ulijua huwez kuwasaidia kwanini uliwaomba hiyo pesa?Nawaomba mahakimu kuweni nahuruma nabinaadam wenzenu.Msijali shida zenu tu.Tenden haki pale inapotakiwa.Muwe nahuruma pale inapotakiwa.

Wewe na huyo hakimu wote walewale i.e wahalifu.
Inavyoonekana mlikaa mkakubaliana kununua haki na huyo hakimu amekiuka makubaliano, huna wa kumlaumu maana makubaliano yenu yalikuwa haramu. Hii ni sawa na kesi ya kulalamikia kudhurumiwa magunia ya bangi.
 
aliekutuma umpe rushwa ni nani kama ulijua huna haki?
shame on you.
 
Back
Top Bottom