JAMALDIN HAJI
Senior Member
- Feb 26, 2013
- 187
- 9
Hakika hakimu wamahakama ya mwanzo songea mjini,jina tunakuhifazi.Kitendo chako chakuomba rushwa ya sh/700000 hakifai.Kumbuka wale ulio wachukulia hizo pesa nibinaadam kama wewe.Kama ulijua huwez kuwasaidia kwanini uliwaomba hiyo pesa?Nawaomba mahakimu kuweni nahuruma nabinaadam wenzenu.Msijali shida zenu tu.Tenden haki pale inapotakiwa.Muwe nahuruma pale inapotakiwa.