Hakujapata kutokea watu wanafiki dunia kama wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake,

Kiasi Lissu alishaanza kupanga timu yake ya kumpigia kampeni kwa msukumo wa mariah sarungi kwa kuwa wengi waliopo Chadema ni wafuasi watiifu kwa Chairman Mbowe walimpenyezea taarifa za siri kuhusu mpango wake Lissu na Mbowe akaamua kuwapiga chini kimtindo kwenye uchaguzi wa kanda kwa kuweka wafuasi wake watiifu.......

Cha ajabu ni kuhusu hawa watiifu kujifanya wana mapenzi na Lissu na Mbowe eti Lissu ndio mwenye uwezo wa kupambana na CCM Lissu hana lolote jipya kuanzia huko ndani chadema mpaka nje ya Chadema kama mtu huyo alishindwa na nyalandu ana uwezo wa kumshinda jemedari mkuu wa nchi,.....

Unafiniki ni mwingi kwa wafuasi wa Chadema ni mara mara ngapi wameitwa na kutoka barabarani kufanya maandamano ya kuitoa CCM na kushinikiza katiba mpya lakini hawakutoka leo hii wanajidai lissu ana uwezo pumbavu kabisa......

Wanafiki wakubwa hawapo pamoja na lissu wala Mbowe wana wachonganisha tu bahati nzuri mbowe kashtuka....vamos kwa hawa wana harakati viwete.....

Kwanini ni viwete hawajahi kuonekana hadharani hata siku moja wanaharakati hawa hawapo kwenye harakati za kweli ila wapo kwa maslahi yao ndio maana hawamtaki mbowe wanamtaka baharia mwenzao ambaye muda mwingi wanapanga nia ovu ya kuichukua chadema wajinufaishe kwa kuanzisha machafuko ya mashoga wamasai na vurugu za kisiasa walaaniwe kabisa hawa wanaharakati wakiongozwa na Mariah sarungi!.......

Wafuasi wa Chadema ni watu wanafiki kabisa na waoga wala hawapo tayari kwa mabadiliko wengi wao ni watu wa kwenye mitandao wasio na uhalisia......

Wanajifanya kumpenda lissu lakini hawatoki barabarani kuiondoa CCM hawamtii Mbowe kiasi ni watoto wake pekee ndio wanatoka kuandamana.....

Wanaharakati na wafuasi wanafiki hebu wacheni unafiki kujifanya mpo nao kumbe hamuwaheshimu!
Jumapili njema Mbowe ndiye mwenyekiti anayefaaa!
 
Mafuriko ya mada za kuichafua kuibeza kuikejeli CHADEMA bado zinaendelea watu hawalali kabisa.. Ila kumbukeni wakimalizana na sisi (kama wataweza) watakuja kwenu.. JIANDAENI VIZURI
 
Hilo tunalijua kitambo ndio maana alianza kumzushia Nyerere akadhalilisha Lowassa akamdhalilisha Makonda akamdhalilisha Magufuli akamdhililisha raisi Samia baada ya kuwamiliza huko nje amegeukia ndani ya chama chake anamdhalilisha mwenyekiti wake!
 
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake,

Kiasi Lissu alishaanza kupanga timu yake ya kumpigia kampeni kwa msukumo wa mariah sarungi kwa kuwa wengi waliopo Chadema ni wafuasi watiifu kwa Chairman Mbowe walimpenyezea taarifa za siri kuhusu mpango wake Lissu na Mbowe akaamua kuwapiga chini kimtindo kwenye uchaguzi wa kanda kwa kuweka wafuasi wake watiifu.......

Cha ajabu ni kuhusu hawa watiifu kujifanya wana mapenzi na Lissu na Mbowe eti Lissu ndio mwenye uwezo wa kupambana na CCM Lissu hana lolote jipya kuanzia huko ndani chadema mpaka nje ya Chadema kama mtu huyo alishindwa na nyalandu ana uwezo wa kumshinda jemedari mkuu wa nchi,.....

Unafiniki ni mwingi kwa wafuasi wa Chadema ni mara mara ngapi wameitwa na kutoka barabarani kufanya maandamano ya kuitoa CCM na kushinikiza katiba mpya lakini hawakutoka leo hii wanajidai lissu ana uwezo pumbavu kabisa......

Wanafiki wakubwa hawapo pamoja na lissu wala Mbowe wana wachonganisha tu bahati nzuri mbowe kashtuka....vamos kwa hawa wana harakati viwete.....

Kwanini ni viwete hawajahi kuonekana hadharani hata siku moja wanaharakati hawa hawapo kwenye harakati za kweli ila wapo kwa maslahi yao ndio maana hawamtaki mbowe wanamtaka baharia mwenzao ambaye muda mwingi wanapanga nia ovu ya kuichukua chadema wajinufaishe kwa kuanzisha machafuko ya mashoga wamasai na vurugu za kisiasa walaaniwe kabisa hawa wanaharakati wakiongozwa na Mariah sarungi!.......

Wafuasi wa Chadema ni watu wanafiki kabisa na waoga wala hawapo tayari kwa mabadiliko wengi wao ni watu wa kwenye mitandao wasio na uhalisia......

Wanajifanya kumpenda lissu lakini hawatoki barabarani kuiondoa CCM hawamtii Mbowe kiasi ni watoto wake pekee ndio wanatoka kuandamana.....

Wanaharakati na wafuasi wanafiki hebu wacheni unafiki kujifanya mpo nao kumbe hamuwaheshimu!
Jumapili njema Mbowe ndiye mwenyekiti anayefaaa!
CCM inakufa!
 
kipara kipya obviously ni akaunti ya mwamba maana sio kwa nyuzi hizi. Kila baada ya dakika kumi uzi.

Tulia unywe konyagi, changes are inevitable
 
Back
Top Bottom