Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hakuna na haitawahi kutokea mkufunzi wa dini ama imani kama Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge wa madhehebu matukufu ya Shia nchini Tanzania.
Ana busara, hekima na maarifa. Mahubiri yake yamejaa nasaha, elimu na mawahidha.
Baada ya kusikia haya mahubiri yake amenifanya nijikite kusoma vitabu zaidi.
Vijana someni vitabu.
Yani anavyoshusha nondo kamili na kutema madini yaliyojitosheleza unabaki kujengeka kiiamani.
Msikize hapo chini.
Al-mukheef Makebo Covax
adriz de mbusii