Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naama mwamba huyuCommander sobo
Kaka itafute nzuri sanaSijawahi kuiwatch hivyo siwezi pingana na wewe
Hii kitu ni noma sana. Kuna Captain Sobel humo. Alimnyanyasa sana Winters wa Easy Company, halafu winters akaja kupandishwa cheo kumzidi Sobel. Palikua patamu hapo.View attachment 2769810
The series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its participation in major actions in Europe, up until Japan's capitulation and the end of World War II.
Naam ni kipande kimoja kizuri sana yaani saanaHii kitu ni noma sana. Kuna Captain Sobel humo. Alimnyanyasa sana Winters wa Easy Company, halafu winters akaja kupandishwa cheo kumzidi Sobel. Palikua patamu hapo...
Naam kalii sana itafute uichekiInaonekana kali
No kaka ni mini series ya mwaka 2001Imeisha au ni series ambayo bado ni inaendelea kutoka?
Ukiona Tom Hank Tu we tafuta Hilo dudeThe series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its participation in major actions in Europe, up until Japan's capitulation and the end of World War II.