Wasanii wa nchi hii hawajitambuiAmewatetea wasanii wasamehewe na mashabiki akaishia kutukanwa
Michezo yao hiyo ya kuwaweka busy Jen zMajizo amesagiwa Kunguni baada ya kuwatetea wasanii
Sijui mshkaji kajichanganya vipi mwanangu!
Watu wengine presha wanazitafuta wenyewe
Wakati mwingine iwe funzo kufunua vyungu vya moto kwasababu unaweza kuunguza mkono
View attachment 3514340