Hakukuwa na ulazima wa Majizo kufunua vyungu vya moto

Kajinganya, watu wameruka nae jumla jumla. Kilichomsukuma ni Kuona hata yeye anategemea sana wasanii kupata ugali wake. Sasa alichokutana nacho ni balaaaa
Ameamua mwenyewe kupandisha presha watu wengine magonjwa wanayatafuta wenyewe
 
Majizo anabidi aachane na hii hali kwakuwa na yeye akiingilia wataacha kusikiliza radio yake ambayo imeshajifia muda mrefu
 
Yeye km nani awaombee msamaha wasanii machawa?

Wasani ni wa hip hop tu kina wakazi.motra ney roma dizasta p mawenge n.k

Hao wengine wabana pua ni mapimbi tu!
 
Huyu asubuhi tu huko mbsgala chamaz uswekeni anawafungia sound watu vijana wanaserebuka singeli....saa 5 asubuhi
Bllshyt

Ova
 
Majizo amesagiwa Kunguni baada ya kuwatetea wasanii

Sijui mshkaji kajichanganya vipi mwanangu!

Watu wengine presha wanazitafuta wenyewe

Wakati mwingine iwe funzo kufunua vyungu vya moto kwasababu unaweza kuunguza mkono

View attachment 3514340
Michezo yao hiyo ya kuwaweka busy Jen z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…