Hakuna ajuaye saa...

Hakuna ajuaye saa...

Joseph Roche

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Wapendwa pamoja na harakati za maisha,tumkumbuke aliyetuumba maana hakuna anayejua saa atakapoitwa.nawatakieni jumapili njema.
 
kwani leo ni jumapili?
.
Mkuu vipi mbona unatuangusha!
Swali gani l kumuuliza ... wewe unajua hapa watu wametapakaa sehemu mbalimbali duniani .... unaweza yupo Australia au Tasmania au hata Japan na kwake sasa hivi ni Jumapili tayari!

Mkuu, wewe ungemjibu vizuri tu
.
 
Uncle tuombee tuzidi kumkumbuka aliyetuumba.
 
Back
Top Bottom