Wala hajui kuwa mmemwanzishia uzi hapa, ndoa mpya ina raha yake ati
Huyo wako mpya yuko wapi?Ndoa mpya mke wa zamani.
Mimi ni shabiki wa Kiba forever, concert ya kwanza nilikwena ndiyo ameachia Mac MugaAli was on top even before Diamond!
Don't forget famous pass but legendarity lives forever.
Show some respect
binafsi nikipata nafasi nasikiliza nyimbo zao,ila kwenda kwenye show sijui nini,never in my life....never!Mimi ni shabiki wa Kiba forever, concert ya kwanza nilikwena ndiyo ameachia Mac Muga
Hahahahaha dada la dada kumbe wewe team kiba?Wala hajui kuwa mmemwanzishia uzi hapa, ndoa mpya ina raha yake ati
Hivi ulishirikisha hayo matope ya kichwani humo kweli??Yanga ikifa Simba itacheza na nani?
ila uliyeleta mada akili hauna kabisa..
asa mimi na wewe nani ana tope kichwani,au bado upo usingizini?Hivi ulishirikisha hayo matope ya kichwani humo kweli??
SANAHahahahaha dada la dada kumbe wewe team kiba?