Si kuwa bongobinafsi nikipata nafasi nasikiliza nyimbo zao,ila kwenda kwenye show sijui nini,never in my life....never!
Katika ndoto yako rudia tena kuota, Mofaya haitapenya u.s.a, kule kuna Belaire. a.k.a pesa haram. Halafu haitatokea sbb kuna uwezekano wivu upo deep inside ya bandama.I had a dream...Kiba na Diamond watakuja kufanya collaboration na itakuwa massive..Africa nzima tutaiweka under control.. itapata viewers zaidi ya 500m na ndio utakuwa mwisho wa Naija music kutufunika....kinachotakiwa wote wawili wajishushe..Team mondi na team Kiba wataungana na kila ngoma wataisupport ..Awards zote zitakuja Bongo...pata picha watoe ngoma pamoja alafu show Taifa..ticket zitakuwa sold out within a day..wazunguke mikoani,waende Nairobi,Mombasa,Kampala,Kigali,East Congo.Bunjumbura..billions watapata..Europe na USA..watu watakula Diamond Karanga na kushushia mofaya..Joe Kusaga Fanya ndoto yangu iwe kweli
Nchi zinapigana vita watu wanakufa na wanakuja kupatana(USA na Japan)itakuwa wanamuziki???Jay z na Nas,Wizkid na Davido wamesquash beef..hawa jamaa wameshakuwa moguls wapige hela tuKatika ndoto yako rudia tena kuota, Mofaya haitapenya u.s.a, kule kuna Belaire. a.k.a pesa haram. Halafu haitatokea sbb kuna uwezekano wivu upo deep inside ya bandama.
Sawa, lakini unajua kuwa kiba100 alishuka kimuziki tukamsahau kabisa kwenye game? Sasa mtoto wa tandale alipokuja kwenye game pembe zikaota, vibeberu fulani vikaona dawa ya kumuua Mondi ni kufufua mzuka wa kale ili kuweka ushindani, mara paaap kiba akafukuliwa, kisha vibeberu wakatengeneza bifu wakijua kuwa bila hilo hata huyo kiba angekuwa nae timu Mondi, wakajaribu kumpaisha na kumpromoti kwa nguvu kubwa sana ili kuweka ushindani lakini mpaka leo anapumulia chini kwa chini.Ali was on top even before Diamond!
Don't forget famous pass but legendarity lives forever.
Show some respect
Hauwezi kuwa sahihi kusema alishuka kimuziki, Sema alipumzika kutoa nyimbo kama solo artist, aliendelea kufanya poa kwenye collaboration kadhaa kama starehe gharama, kibela na nyinginezo.Sawa, lakini unajua kuwa kiba100 alishuka kimuziki tukamsahau kabisa kwenye game? Sasa mtoto wa tandale alipokuja kwenye game pembe zikaota, vibeberu fulani vikaona dawa ya kumuua Mondi ni kufufua mzuka wa kale ili kuweka ushindani, mara paaap kiba akafukuliwa, kisha vibeberu wakatengeneza bifu wakijua kuwa bila hilo hata huyo kiba angekuwa nae timu Mondi, wakajaribu kumpaisha na kumpromoti kwa nguvu kubwa sana ili kuweka ushindani lakini mpaka leo anapumulia chini kwa chini.
Anae pumzika kachoka, alienda kufanya colabo kwamaana single artist ilikuwa haimlipi kutokana na ubora wa kazi zake, kwasasa yupo juu kwa kuwa anabebwa na bifu. Akiambiwa asimame mwenye bila mondi atarudi alikokuwa.Hauwezi kuwa sahihi kusema alishuka kimuziki, Sema alipumzika kutoa nyimbo kama solo artist, aliendelea kufanya poa kwenye collaboration kadhaa kama starehe gharama, kibela na nyinginezo.
Jitahidi kuwa na heshima pamoja na kumbukumbu sahihi kabla ya Kuja kubishana na experts
Kama si mahaba basi una chuki binafsi, I can't argue with you any more brother you seem to have little knowledge about competition in music industry and business in general.Anae pumzika kachoka, alienda kufanya colabo kwamaana single artist ilikuwa haimlipi kutokana na ubora wa kazi zake, kwasasa yupo juu kwa kuwa anabebwa na bifu. Akiambiwa asimame mwenye bila mondi atarudi alikokuwa.
Ila anaefaidika na beef n kiba coz hakuna kiba bila mondKama si mahaba basi una chuki binafsi, I can't argue with you any more brother you seem to have little knowledge about competition in music industry and business in general.
Kiba was there even before the whole WCB crew and not only Mond.Ila anaefaidika na beef n kiba coz hakuna kiba bila mond
I had a dream...Kiba na Diamond watakuja kufanya collaboration na itakuwa massive..Africa nzima tutaiweka under control.. itapata viewers zaidi ya 500m na ndio utakuwa mwisho wa Naija music kutufunika....kinachotakiwa wote wawili wajishushe..Team mondi na team Kiba wataungana na kila ngoma wataisupport ..Awards zote zitakuja Bongo...pata picha watoe ngoma pamoja alafu show Taifa..ticket zitakuwa sold out within a day..wazunguke mikoani,waende Nairobi,Mombasa,Kampala,Kigali,East Congo.Bunjumbura..billions watapata..Europe na USA..watu watakula Diamond Karanga na kushushia mofaya..Joe Kusaga Fanya ndoto yangu iwe kweli
Anakimbilia kuoa mwenzake Mondi anatengeneza pesa tu, Kibakuli bana 'mke si mali fanya kazi,wanawake wapo tu'
Uchafu kwako na imani yako kwa wengine ni burdani tu na njia ya kuujaza ulimwengu!!!Kwahiyo ndugu unatakiwa utafute pesa huku ukiwa unadhini? Ni wapi uliona mtu anatafuta pesa alafu akishazipata zinamwambia oa sasa mimi umeshanipata? Kuna uhusiano wowote kati ya kuoa na kutafta pesa? Zinaa ni uchafu ndugu tujitahidi kuacha na kumrejea Mungu.