Hakuna Ali Kiba bila Diamond

Hakuna Ali Kiba bila Diamond

Mbona Facebook imehamia jf!!??mods ondoa huu ujinga
 
Kiba alikuwepo ktambo ila alipotea ndo akabebwa na bifu la simba lakin bifu likifa kibakul anapotea
 
I had a dream...Kiba na Diamond watakuja kufanya collaboration na itakuwa massive..Africa nzima tutaiweka under control.. itapata viewers zaidi ya 500m na ndio utakuwa mwisho wa Naija music kutufunika....kinachotakiwa wote wawili wajishushe..Team mondi na team Kiba wataungana na kila ngoma wataisupport ..Awards zote zitakuja Bongo...pata picha watoe ngoma pamoja alafu show Taifa..ticket zitakuwa sold out within a day..wazunguke mikoani,waende Nairobi,Mombasa,Kampala,Kigali,East Congo.Bunjumbura..billions watapata..Europe na USA..watu watakula Diamond Karanga na kushushia mofaya..Joe Kusaga Fanya ndoto yangu iwe kweli
 
Katika ndoto yako rudia tena kuota, Mofaya haitapenya u.s.a, kule kuna Belaire. a.k.a pesa haram. Halafu haitatokea sbb kuna uwezekano wivu upo deep inside ya bandama.
 
Nchi zinapigana vita watu wanakufa na wanakuja kupatana(USA na Japan)itakuwa wanamuziki???Jay z na Nas,Wizkid na Davido wamesquash beef..hawa jamaa wameshakuwa moguls wapige hela tu
 
Ali was on top even before Diamond!
Don't forget famous pass but legendarity lives forever.
Show some respect
Sawa, lakini unajua kuwa kiba100 alishuka kimuziki tukamsahau kabisa kwenye game? Sasa mtoto wa tandale alipokuja kwenye game pembe zikaota, vibeberu fulani vikaona dawa ya kumuua Mondi ni kufufua mzuka wa kale ili kuweka ushindani, mara paaap kiba akafukuliwa, kisha vibeberu wakatengeneza bifu wakijua kuwa bila hilo hata huyo kiba angekuwa nae timu Mondi, wakajaribu kumpaisha na kumpromoti kwa nguvu kubwa sana ili kuweka ushindani lakini mpaka leo anapumulia chini kwa chini.
 
Hauwezi kuwa sahihi kusema alishuka kimuziki, Sema alipumzika kutoa nyimbo kama solo artist, aliendelea kufanya poa kwenye collaboration kadhaa kama starehe gharama, kibela na nyinginezo.
Jitahidi kuwa na heshima pamoja na kumbukumbu sahihi kabla ya Kuja kubishana na experts
 
Kila msanii ana wapenzi wa mziki wake ambao ni loyal, so hata atoe ngoma mbovu vipi die hard fans tutaendelea kusupport, kama raha tulikula wote kwanini tumtenge wakati wa shida.
ECT until death
 
Hauwezi kuwa sahihi kusema alishuka kimuziki, Sema alipumzika kutoa nyimbo kama solo artist, aliendelea kufanya poa kwenye collaboration kadhaa kama starehe gharama, kibela na nyinginezo.
Jitahidi kuwa na heshima pamoja na kumbukumbu sahihi kabla ya Kuja kubishana na experts
Anae pumzika kachoka, alienda kufanya colabo kwamaana single artist ilikuwa haimlipi kutokana na ubora wa kazi zake, kwasasa yupo juu kwa kuwa anabebwa na bifu. Akiambiwa asimame mwenye bila mondi atarudi alikokuwa.
 
Kama si mahaba basi una chuki binafsi, I can't argue with you any more brother you seem to have little knowledge about competition in music industry and business in general.
 
Ila anaefaidika na beef n kiba coz hakuna kiba bila mond
 
Frankly speaking Diamond is the best, unajua ukiwa na roho ya korosho ni ngumu kuendelea.Ali kiba ana ile kuringa na kujisikia flan ndio maana mafanikio yanadorora.
 
I had a dream...Kiba na Diamond watakuja kufanya collaboration na itakuwa massive..Africa nzima tutaiweka under control.. itapata viewers zaidi ya 500m na ndio utakuwa mwisho wa Naija music kutufunika....kinachotakiwa wote wawili wajishushe..Team mondi na team Kiba wataungana na kila ngoma wataisupport ..Awards zote zitakuja Bongo...pata picha watoe ngoma pamoja alafu show Taifa..ticket zitakuwa sold out within a day..wazunguke mikoani,waende Nairobi,Mombasa,Kampala,Kigali,East Congo.Bunjumbura..billions watapata..Europe na USA..watu watakula Diamond Karanga na kushushia mofaya..Joe Kusaga Fanya ndoto yangu iwe kweli

Tawile
 
Anakimbilia kuoa mwenzake Mondi anatengeneza pesa tu, Kibakuli bana 'mke si mali fanya kazi,wanawake wapo tu'

Kwahiyo ndugu unatakiwa utafute pesa huku ukiwa unadhini? Ni wapi uliona mtu anatafuta pesa alafu akishazipata zinamwambia oa sasa mimi umeshanipata? Kuna uhusiano wowote kati ya kuoa na kutafta pesa? Zinaa ni uchafu ndugu tujitahidi kuacha na kumrejea Mungu.
 
Mtoa mada akili ndogo sana sasa unafikiri diamond angekuwa peke take bila mpinzani angekuwa na maana!?....
 
Kwahiyo ndugu unatakiwa utafute pesa huku ukiwa unadhini? Ni wapi uliona mtu anatafuta pesa alafu akishazipata zinamwambia oa sasa mimi umeshanipata? Kuna uhusiano wowote kati ya kuoa na kutafta pesa? Zinaa ni uchafu ndugu tujitahidi kuacha na kumrejea Mungu.
Uchafu kwako na imani yako kwa wengine ni burdani tu na njia ya kuujaza ulimwengu!!!
 
Back
Top Bottom