Ni drama iliyopikwa na watu wasio wazoefu katika kucheat, lakini pia the main character ni kama vile hakufanya rehearsal vizuri au hafundishiki, na ilimuwia vigumu sana kuact kama alivyoelekezwa na watengeneza script wa hiyo drama.
Ni wazi hapakua kabisa na mapambano, makabiliono au purukushani, baina na wanaoitwa watekaji na alietekwa na ndio maana mikono ya main actor iko soft mno na amefungwa kanga safi wakati artificial blood imeshakauka.
Main character hana dalili hata moja kuwatoroka watekaji.
Huenda watekaji ndio walikua wapiga picha kwenye drama hiyo.
Sijui kwanini walimvua nguo alizokua amevaa wakati wa action na kumvisha kanga na nguo za chumbani.
The main character, ameshindwa kabisa kuonyesha sura ya huruma au kuonewa, bali ni wazi alikua akilazimishwa kujifanya ameteseka sana but moyo wake na sura yake vikakataa kabisa kuonyesha hivyo.
In conclusion, hii ni drama nyepesi sana, iliyolenga zaidi kuzua taharuki, kutafuta kiki, kuatract public sympathy na kuactivate tension kwa mabwenyenye ya magharibi wanaowafadhili mazongezonge ya chuki na uhasama miongoni mwa wananchi Tanzania, yanaoyoongozwa na hao wafuata mkumbo wa kutengeneza utekaji bandia.
Kiufupi ni useless and completely nonsense abduction drama 🐒
Mungu Ibariki Tanzania