Hakuna alie tekwa pale, ni pure drama, yaani ni utekaji bandia

Hivi we jamaa una watoto kweli!!! Maana naiona laana kubwa sana ikiangukia kwa watoto wako
 
Ona haibu Gentlemen icho cheo ulicho nacho apo mjengoni lumumba ni dhamana tu any time inapotea na hata kama upo kwenye payroll ya zil buku 7 jalibu kua na akili gentlemen.
Huna akili
 
Matope mengine unapost wapi na tubonyeze ngapi chawa?
 
Binadamu hatukosi maelezo baada ya matukio, la msingi yupo hai, haki yake ya kuishi imeendelea kuwepo.
 
Nan mwenye ujasir wa kushoot karibia na kambi za usalama?filiria na hilo
 

Sasa kwa nini MAFWERE alituma watu wake kwenda kuchukua pingu zao...!!?
 
Isingekuwa maigizo kama angekutwa ametupwa msitu wa Mwambepande kichwa kikiwa tofauti na kiwiliwili sio?

Huna tofauti na yule aliyesema “sisi tungetuma watu wetu wala wasingetumia risasi zote zile” Kichwa box kasahau kuwa amekiri kuwa mnatuma watu wenu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…