Hakuna alie tekwa pale, ni pure drama, yaani ni utekaji bandia

Nalubaliana na wewe wanatengeneza drama drama Ili wapate huruma... Yatakuja mengi.. lakini hawa jamaa ni wa kuwaondoa katika uso wa Dunia . Awana tija kwa Tanzania
mosi mosi gentleman 🀣
 
Iwapo ni drama ni ya Tlaatlah,Mwashamba na washirika wenu chawa wawaliopika jungu la mo29 naa myale yaliyolifikisha taifa hapo!
Jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…