Nasikia sauti ndani yangu mara Kwa mara ikiniambia Kuwa tuliwahi kuishi! na Sasa Tuko jehanamu.Inawezekana Dunia ni Jehanamu tukifa tunakuwa tumemaliza vifungo na mateso tunenda kumpumzika.Hii Dunia Tajiri na Masikini Kila mmoja anapitia majuto yake, Duniani tumetupwa ni sehemu isiyo salama ni eneo la utawala wa kuzimu ni sehemu ya mateso,magonjwa, njaa,vita n.k Kila Mwanadamu awe na pesa ama laa atapitia kwenye magonjwa wengine vita na wengine njaa.Kwa ufupi hii Dunia ni sehemu ya mateso ya Mwanadamu. Ni mawazo yangu.Kuuana hakujaanza leo
Hata kaini alimuua ndugu yake!
Dunia ni uwanja wa fujo!
Na kila mtu anafujo zake na anambabe wake!
Wengine vita, wizi, uzinzi, uongo, utapeli, taama, usaliti, kafara, watengeneza magonjwa N.k
Hakuna aliye mwema hapa duniani bila kujali anaomba dua sana au hana dini.
mbaya zaidi watu hatari na wabaya zaidi wamejificha kwenye mgongo wa dini au kutoa misaada sana.
Nisiandike sana!
Wewe mwenyewe kuna mambo unayafanya au aliwahi kuyafanya ukitulia na kuyafikria unabaki unajishangaa.
Dunia ni sehemu ya dhiki na mateso na yote hayo yanaletwa na mwanadamu mwenyewe
Na huu ndio ukweli.Kwa ufupi hii Dunia ni sehemu ya mateso ya Mwanadamu. Ni mawazo yangu.
Ndo hivyooNasikia sauti ndani yangu mara Kwa mara ikiniambia Kuwa tuliwahi kuishi! na Sasa Tuko jehanamu.Inawezekana Dunia ni Jehanamu tukifa tunakuwa tumemaliza vifungo na mateso tunenda kumpumzika.Hii Dunia Tajiri na Masikini Kila mmoja anapitia majuto yake, Duniani tumetupwa ni sehemu isiyo salama ni eneo la utawala wa kuzimu ni sehemu ya mateso,magonjwa, njaa,vita n.k Kila Mwanadamu awe na pesa ama laa atapitia kwenye magonjwa wengine vita na wengine njaa.Kwako ufupi hii Dunia ni sehemu ya mateso ya Mwanadamu. Ni mawazo yangu.
Hayo ndio tuliyobaki nayoKifo cha Mzee Ayatula huenda kitaleta Amani kwenye Bahari ya Sham na mlango wa Baab al Mandeb.
U.S.A na western wanafadhili vikundi vingi vya kigaidi duniani wakiwemo waisrael kwanini haowatu pia hawaoniDunia ilipokuwa inailaumu Iran kufadhili makundi ya kigaidi(Houthi,Esbollal na Hamas)kuna nchi zilipinga sana, Ibrahim Raisii na Serikali yake ndiye aliyekuwa akishutumiwa kupanga mashambulizi mbalimbali ikiiwa ni pamoja na kuidhinisha wafungwa kunyongwa.