Rais wa Iran ameteketea. Hata hivyo ni taifa gani lipo salama?
Marekani walishambuliwa palepale Pentagon (makao makuu ya ulinzi) na WTC ambako maelfu waliuawa. Israel walishambuliwa palpable na zaidi ya watu elfu 1 waliuawa, wanajeshi wake nao wameuawa kadri vita yao na Hamas inaendelea. Palestinians wengi wameuawa. Mwezi jana, Russia walishambuliwa na magaidi na kupoteza maisha ya wengi.
Mataifa yote hayo yameendelea sana kwenye teknolojia ya ulinzi lakini hayajajihakikishia usalama.
Dunia haipo salama. Kilichobaki ni ushabiki wa dini tu.