Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

🀠🀠🀠🀠🀠😁😁😁😁😁!

Kirusiiiiiiiiiii!!
Yotee hii kisa liborooouuuuu nyiee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣!!
Kuna mahali nimemsoma mtanzania mmoja anasema eti wewe ndio yule Mahondaw mjukuu wangu ambaye sikumaliziwa mahari...

Kama ni wewe basi jisalimishe kabla sijaacha laana....
 
Afu wewe Joanah Mimi sijawahi kusoma Uzi wako humu.Ebu fanya kunipa link ya Uzi wako wowote nisome.I'm very curious.
 
Afu wewe Joanah Mimi sijawahi kusoma Uzi wako humu.Ebu fanya kunipa link ya Uzi wako wowote nisome.I'm very curious.
Your wish is my command mister Raymanu KE

 
Tumeambiwa kwako ndio ipo damu yake halisi, hao wengine hatujui bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlete tuanze kukupa child support maaunt na mauncle wa jf tuko tyr kikubwa umtoe kwa mjeda [emoji855]
Weee uduguuu mtrotro yupo furuuuuu haitrajii msaaa wa wana jf uduguuu!! Sema nenee itabidi likizo aende kumsalimia dingi akeee huko mjini Daslamu buanaa πŸ€ πŸ€ πŸ˜‚πŸ˜‚!!!!
 
Dah! Uzi wa kitambo Sana nilikuwa bado sijajiunga JF.Afadhali nimejua Sasa coz huwa najiuliza Sana kwanini Joanah hajawahi kushusha Uzi humuπŸ˜‚
 
Duuh mbona hamna kitu itakuwa umefananisha ww [emoji38][emoji38][emoji38]


Nisipopewa ban leo sijui [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Watu wamekula Ban [emoji2][emoji2] hatari naona unaelekea uko sasa
 
Weee uduguuu mtrotro yupo furuuuuu haitrajii msaaa wa wana jf uduguuu!! Sema nenee itabidi likizo aende kumsalimia dingi akeee huko mjini Daslamu buanaa [emoji1783][emoji1783][emoji23][emoji23]!!!!

Oyooooooo!! Haya wambea wenzangu finally tuna mtoto wetu kweli Miongozo Jr
Awwhhhh!! [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Uzi ufungwe km vipi!! Haya wengine mnaobanjuka kazi iendelee tuzidi kuwapata member wengi wa baadae JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…