Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Afu wewe Joanah Mimi sijawahi kusoma Uzi wako humu.Ebu fanya kunipa link ya Uzi wako wowote nisome.I'm very curious.
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale 🤣

Mapenzi haya dadeq! 😂

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
 
Afu wewe Joanah Mimi sijawahi kusoma Uzi wako humu.Ebu fanya kunipa link ya Uzi wako wowote nisome.I'm very curious.
Your wish is my command mister Raymanu KE

 
Tumeambiwa kwako ndio ipo damu yake halisi, hao wengine hatujui bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlete tuanze kukupa child support maaunt na mauncle wa jf tuko tyr kikubwa umtoe kwa mjeda [emoji855]
Weee uduguuu mtrotro yupo furuuuuu haitrajii msaaa wa wana jf uduguuu!! Sema nenee itabidi likizo aende kumsalimia dingi akeee huko mjini Daslamu buanaa 🤠🤠😂😂!!!!
 
Your wish is my command mister Raymanu KE

Dah! Uzi wa kitambo Sana nilikuwa bado sijajiunga JF.Afadhali nimejua Sasa coz huwa najiuliza Sana kwanini Joanah hajawahi kushusha Uzi humu😂
 
Duuh mbona hamna kitu itakuwa umefananisha ww [emoji38][emoji38][emoji38]


Nisipopewa ban leo sijui [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 


Nisipopewa ban leo sijui [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Watu wamekula Ban [emoji2][emoji2] hatari naona unaelekea uko sasa
 
Weee uduguuu mtrotro yupo furuuuuu haitrajii msaaa wa wana jf uduguuu!! Sema nenee itabidi likizo aende kumsalimia dingi akeee huko mjini Daslamu buanaa [emoji1783][emoji1783][emoji23][emoji23]!!!!

Oyooooooo!! Haya wambea wenzangu finally tuna mtoto wetu kweli Miongozo Jr
Awwhhhh!! [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Uzi ufungwe km vipi!! Haya wengine mnaobanjuka kazi iendelee tuzidi kuwapata member wengi wa baadae JF
 
Back
Top Bottom