Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Mshendwweeee uduguuuu 🀠🀣🀣🀣!! Afu nina kachanga kengine Uduguuu Penseli 4 Ndiomana nimetingwa!πŸ§‘β€πŸΌπŸ§‘β€πŸΌπŸ§‘β€πŸΌ
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Duhh you are a mother to a new born again πŸ‘ΆπŸ‘ΆπŸ˜ŠπŸ˜Š hongera aunt.
 
Kaperuzi mle kuna umbea wa kutosha[emoji1787][emoji1787] mpaka mods wakatufungia kukoment
Mods nao jau wanafunga ya nn inabidi tuende tukaliamshe kule.

Mi nachocheka ni jamaa anatembea na mbibi really.

Huyo kasie unajua kastaafu majuzi tu she's 60+ for God's sake 🀣🀣🀣🀣.

Daah jf nimekosa vingi
 
Mshendwweeee uduguuuu [emoji1783][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Afu nina kachanga kengine Uduguuu Penseli 4 Ndiomana nimetingwa![emoji3167]‍[emoji480][emoji3167]‍[emoji480][emoji3167]‍[emoji480]

Wewe mjadala tushafunga sina tatizo na wewe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe hi Miongozo Jr
 
nini kilikusibu labda itawasadia wadogo zako siku moja, mrejesho
Tulishindwana tuu mkuu nahisi nilitaka kuingia katika ndoa nikiwa bado sijajiandaa na changamoto zake ( 24 yrs) na mwenzangu hakuwa na maamuzi yake binafsi kama baba wa familia ( mtoto wa mama). So tukaishia kutoleana mahali na kupata mtoto tuu.
 
Uwe unanitag unavyomchamba shem, mwenzio napenda kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kama chizi khaaa....sema ID yake watu hawaijui bado so hata nikimchamba huwa wanamhisi mwingine tofauti. Ila siku nikilewa kama Kondeboy nitamtag kabisa ( ila ni mpole hanichokozagi kabisa namuoneaga tuu)
 
Tulishindwana tuu mkuu nahisi nilitaka kuingia katika ndoa nikiwa bado sijajiandaa na changamoto zake ( 24 yrs) na mwenzangu hakuwa na maamuzi yake binafsi kama baba wa familia ( mtoto wa mama). So tukaishia kutoleana mahali na kupata mtoto tuu.
ohhhh, polee, sasa unakosea sana pale unapotuhukumu wanaume wote kwa kosa la mtu moja, me nadhani haikuwa bahati yako.
 
Mods nao jau wanafunga ya nn inabidi tuende tukaliamshe kule.

Mi nachocheka ni jamaa anatembea na mbibi really.

Huyo kasie unajua kastaafu majuzi tu she's 60+ for God's sake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Daah jf nimekosa vingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mbibi lakini inaonekana bado yupo vizuri sekta hizo...wamba hawachagui hawabagui kabisa. Tulifukua kaburi hiyo siku ndio wakafunga coment kabisa.

Naikumbuka hiyo siku watu walitukanana kabisa huko coment zikafutwa
 
kuna Yule mliozaa na Chizi Maarifa akaja kumsalimia na kumuona mtoto na kuondoka nae bila ridhaa yako mamamtoto au huyo ni mwingine??? Na huyo mdogo ni kweli kuwa ni wa intelligent Bussinessman ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…