Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Jibu huku unaomba hiyo kadi au tumpe Intelligent businessmanWewe si hujaniita una roho mbaya, me wa kuninyima ubuyu km huu wa babu Mussa? Sijapentraaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa wee mwanangu sio wa chizi maarifa, baba yake yupo kwenye thread ya road trip na sports kule ndio mada zake sio mbea kila siku anaanzisha mada za mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongereni sana wakuu, ngoja kwanza nisababishe na mimi, huwa sipendi kupitwa🤣🤣Mwambaa huyoo hapoo mwambie akupe siriii wa vipajiiii🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣!! Kumbe ana hadi chata yake humuu na hamsemi nyieeee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤠🤠!!
Nasemaaaajeeeeee nasemajee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺
Hujui Leejay49 official anaolewa na harusi ya kanisani sio ya njoo tukae??Sawa, kadi harusi ya nani tena??
Me nikajua ulikuwepo toka asubuhi sijui jana[emoji2][emoji2]...mwenyewe ndo nimestukia saiz page ya 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nipe basi ubuyu??Nimekuja leo huku yani mecheka balaa, humu kuna siri juu ya siri zinaibuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheka utanue mapafu uduguuu jf haijawahi kuboaaa!!😂😂!!Unalo leo shosti mtoto wako kashapewa baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nacheka hapa had sio powa Jf never boring haki duh!!
Ha ha ha!Hahahaha,
Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.
Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"
Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!
Ngoja baba miongozo anichambeee kwanzaa ndio nitulizee mshono wangu lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1783][emoji1783]!
Weee 8pipoo sheeendwaaa sihitaji mbegu ya mjeiefu mimii🤠🤠🤠🤠🤠😂😂😂!
Umenibania🤔🙄Na nani tena anaolewa? Jirani Leejay49 mbona hujanambia?? Nani atakaribisha wageni km sio mimi jirani yako?
Cheka utanue mapafu uduguuu jf haijawahi kuboaaa!![emoji23][emoji23]!!
Weee mshendwweeee uduguuuu 🤠!! 🤣🤣🤣!Hawezi wakati una Miongo Jr wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hapaNa nani tena anaolewa? Jirani Leejay49 mbona hujanambia?? Nani atakaribisha wageni km sio mimi jirani yako?
Ngoja ajeHahahaha,
Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.
Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"
Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!
Umenibania[emoji848][emoji849]
Alipewa baba toka muda mbona, nilianzishaga uzi baba mtoto wangu katoroka na mtoto baada ya siku chache huyo Chizi akaja kuujibu kama yeye ndio baba mtoto. Basi mpaka leo watu wanaamini ndio mhusika mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema la Intelligent businessman ndio jipya nimelisikia leoUnalo leo shosti mtoto wako kashapewa baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nacheka hapa had sio powa Jf never boring haki duh!!
UbuyuMaua nini nimekubania??