Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hahahahaa wee mwanangu sio wa chizi maarifa, baba yake yupo kwenye thread ya road trip na sports kule ndio mada zake sio mbea kila siku anaanzisha mada za mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unalo leo shosti mtoto wako kashapewa baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nacheka hapa had sio powa Jf never boring haki duh!!
 
Mwambaa huyoo hapoo mwambie akupe siriii wa vipajiiii🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🤣!! Kumbe ana hadi chata yake humuu na hamsemi nyieeee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤠🤠!!
Nasemaaaajeeeeee nasemajee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺
Hongereni sana wakuu, ngoja kwanza nisababishe na mimi, huwa sipendi kupitwa🤣🤣
 
Hahahaha,

Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.

Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"

Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!
Ha ha ha!
Kumbeee...!
Yeye anachora tu!
 
Unalo leo shosti mtoto wako kashapewa baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nacheka hapa had sio powa Jf never boring haki duh!!
Alipewa baba toka muda mbona, nilianzishaga uzi baba mtoto wangu katoroka na mtoto baada ya siku chache huyo Chizi akaja kuujibu kama yeye ndio baba mtoto. Basi mpaka leo watu wanaamini ndio mhusika mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema la Intelligent businessman ndio jipya nimelisikia leo
 
Back
Top Bottom