Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Noma sana kijana kuamuliwa na wazazi, sema sasa kuzaa na watu tofauti tofauti nayo ni changamoto tu, watoto wanakuwa na ubini tofauti huku mama akiwa mmoja...
..mambo mazito haya!!
Lakini mkuu mwisho wa siku maisha lazima yaendelee kuteleza sio kuanguka. We broke up nikiwa na 25 yrs unataka kusema nisingezaa tena kisa tuu watoto watakuwa na ubini tofauti??

Nilimwomba Mungu tuu nipate mtu sahihi ambae ataiangalia familia yake vizuri na kutupenda na kujua majukumu yake kama mume na baba, baada ya kumpata na kufwata taratibu zote nimetengeneza familia yangu.
 
Para yako ya pili imebeba ujumbe wote, awe baba bora...ni laana kuzaa watoto watano kila mtu na baba yake!!
 
[emoji1787][emoji1787] humu ndio nasema kumejaa villagers and teenagers. Badala aeleze yake yuko busy na kuponda wengine.

Hapo kishaingia moyoni mwangu na kujua sikupendi kweli
 
Mapenzi qumermae!
 
Usinipite mwokozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna naogopaaaa, uduguu kuna sehemu nilijikwaaa hapa wakati najoin, 5yrs ago.

Isije isijee. Woiiiiiii nakufwaaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…