Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Noma sana kijana kuamuliwa na wazazi, sema sasa kuzaa na watu tofauti tofauti nayo ni changamoto tu, watoto wanakuwa na ubini tofauti huku mama akiwa mmoja...
..mambo mazito haya!!
Lakini mkuu mwisho wa siku maisha lazima yaendelee kuteleza sio kuanguka. We broke up nikiwa na 25 yrs unataka kusema nisingezaa tena kisa tuu watoto watakuwa na ubini tofauti??

Nilimwomba Mungu tuu nipate mtu sahihi ambae ataiangalia familia yake vizuri na kutupenda na kujua majukumu yake kama mume na baba, baada ya kumpata na kufwata taratibu zote nimetengeneza familia yangu.
 
Para yako ya pili imebeba ujumbe wote, awe baba bora...ni laana kuzaa watoto watano kila mtu na baba yake!!
 
Afu haya masihara ya kuitana wapenzi yanawacost wengi hawapati wenzi walio serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi kuna mtu piem kila siku ananiambia, “Me ndo nakupenda kweli achana na drama za CW najua mnataniana” nacheka balaa
[emoji1787][emoji1787] humu ndio nasema kumejaa villagers and teenagers. Badala aeleze yake yuko busy na kuponda wengine.

Hapo kishaingia moyoni mwangu na kujua sikupendi kweli
 
Darlin mbona hukufunguliwa uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au kisa ulidandia treni kwa mbele
Mapenzi qumermae!
 
Usinipite mwokozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna naogopaaaa, uduguu kuna sehemu nilijikwaaa hapa wakati najoin, 5yrs ago.

Isije isijee. Woiiiiiii nakufwaaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom